Ni kweli utajiri wa Kanisa Katoliki unatokana na Serikali?

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Wakuu,

Naomba kufahamu kuhusu suala la utajiri wa Kanisa Katoliki. Je, kweli utajiri wake unatokana na mgao kutoka serikalini?

Baadhi ya Mashekhe wamekuwa wakidai kuwa Kanisa Katoliki hupokea fedha au mgao maalum kutoka serikalini, lakini sijui kama hizi ni tuhuma tu kama nyingine zinazotolewa mara kwa mara, au kama kuna ukweli wowote ndani yake.

Naomba mwenye ufahamu anieleweshe vizuri.
1764843049777.png
 
Watu wana mashule ,wana mahospitali, wana mamiradi mpaka ya ufugaji kuku ila maostadh ubwabwa wanaamini jamaa hawana kitu ila wanapewa mahela bure bure,.

Bila kuweka unafki pembeni ukitaka kujua roho za maostaadh siku muarabu alete sadaka ya nyama ya ngamia na tende waachiwe wagawe

Uone vita ya tatu ya dunia kugombea tende tu, Sasa watu hao wangekuwa na mradi si kila siku utasikia nipe afu tano hapo nikanywe gahawa ,

Mara nipe nauli kwenye mauzo ya kuku hapo niende kwa mke mdogo ,

Sasa hayo yote ya nini , uswahili mwingiiiii akili mgongoni
 
RC wakikusanyaga tu mavuno kwa waumini jimbo moja tu huwa haipungui 500M

juzi kati jimbo la bagamoyo jimbo jipya kabisa likekusanya 1B

hawa watu wana miradi mingi mashamba makunba ya miti nk

hawana njaa ndio maana wanaisimamia kweli bila kujari wanaemwambia ni nani,

RC wanaendesha mambo yao systematic, wanamifumo kama ya serikali,
ukiingia jimbo moja utakuta kuna katibu wa elimu jimbo, katibu wa afya jimbo, Afisa rasilimali watu jimbo, kuna katibu wa kilimo!

pia wana wafadhili kutoka nje, Italy, sweeden, germany na uholanzi

Roma haikujengwa siku moja

huwezi ukamuonga padri laki mbili akaongee ujinga wa kuisifu serikali
 
Nasikia wanapokea mamilioni kwa ajili ya kuchangia uendeshaji wa hospitali zao, lakini cha ajabu mgojwa akienda kutibiwa anachajiwa bei sawa na hospitali za Binafsi.......
 
Mbona hujajibu swali?..haya yote ya nini?
Umeulizwa ni kweli Huwa mnapata mgao wa serikali wa MoU?
 
Kama wanauwezo wa kupata hela nyingi hivyo, mbona walikuwa wanalia lia mgao unaotolewa na serikali kwa ajili ya kudesha hospitali zao usiondolewe?
 
kuna mtu uliona analilia huo mgao?
serikali inatoa ruzuku kwaajili ya kufanya hivi vituo vya dini vitoe huduma bure kwa wazee, watoto na wajawazito kama sera ya afya inavyosema,
Pia elewa kua serikali ndio iliomba ushirikiano na taasisi za kidini na sio katoliki pekeake ni taasisi zote za dini ikiwemo kkkt, anglican na RC

sasa mimi nafikiri hoja ya hawa waislamu wangejenga na wao mahospitali ili wapate hiyo ruzuku,

sasa hawana huduma yoyote wanayotoa kwa jamii, halafu wanaumia wenzao kupata ruzuku?
 
Mbona hujajibu swali?..haya yote ya nini?
Umeulizwa ni kweli Huwa mnapata mgao wa serikali wa MoU?
jibu ni ndio wanapokea ruzuku kutoka serikalini, kama walivyosai i makubaliano na serikali,
na sio katoliki pekeake
kuna KKKT pia na anglican
 
Nasikia wanapokea mamilioni kwa ajili ya kuchangia uendeshaji wa hospitali zao, lakini cha ajabu mgojwa akienda kutibiwa anachajiwa bei sawa na hospitali za Binafsi.......
Mfano hospital gani ya kanisa katoliki mgonjwa anachajiwa bei sawa na hospitali za Binafsi?
 
Nasikia wanapokea mamilioni kwa ajili ya kuchangia uendeshaji wa hospitali zao, lakini cha ajabu mgojwa akienda kutibiwa anachajiwa bei sawa na hospitali za Binafsi.......
hospitali zote za dini ambazo ziko chini ya mpango wa ruzuku, gharama za matibabu hazipishani na hospitali za serikali, pia wazee, watoto na wajawazito hupata huduma bure
 
Wakuu,

Naomba kufahamu kuhusu suala la utajiri wa Kanisa Katoliki. Je, kweli utajiri wake unatokana na mgao kutoka serikalini?

Baadhi ya Mashekhe wamekuwa wakidai kuwa Kanisa Katoliki hupokea fedha au mgao maalum kutoka serikalini, lakini sijui kama hizi ni tuhuma tu kama nyingine zinazotolewa mara kwa mara, au kama kuna ukweli wowote ndani yake.

Naomba mwenye ufahamu anieleweshe vizuri.
View attachment 3511209
hawa jamaaa
 
Mashehe wengi hawana akili, si wamwambie mashalavu awachotee hela.
Kanisa limejipanga kuanzia elimu, hospital nk
 
Bila kuweka unafki pembeni ukitaka kujua roho za maostaadh siku muarabu alete sadaka ya nyama ya ngamia na tende waachiwe wagawe
Kuna bibi kauawa mwaka huu kwa kusukumwa na shekhe ili akae kwenye mstari wakati wa mgao wa nyama ya mwarabu, kisha bibi akaanguka na kufariki.
 
Walianza kupewa ruzuku mwaka 1992,tayari walikuwa na taasisi za kiafya na kielimu...
Shida BAKWATA hawaongei ukweli...
 
Mtoa mada kauliza swali kimkakati alafu kaja na id zingine kuchallenge wanaojibu swali
Lengo: ni kuchochea udini dhidi ya RC
Sasa mimi nafikiri kwa tulipofika vita ya udini haiepukiki(huu niukweli mchungu wabara inabidi wautambue) kwa sababu wakristo(wabara) hii vita hawaitaki lakini waislamu(watu wa pwani ) wanaitaka sana jihad tena wanaililia, tulipofika lazima tubondane ndiyo akili ikae sawa unless otherwise kuna watu kila siku watakuwa wanalia sababu kuna upande hautaki amani kabisa
 
A big no?
Serikali na umasikini wake haina ubavu wa kuweza kuhudumia kanisa Katoliki
Serikali yenyewe ndio inategemea hili Kanisa.
 
Wakuu,

Naomba kufahamu kuhusu suala la utajiri wa Kanisa Katoliki. Je, kweli utajiri wake unatokana na mgao kutoka serikalini?

Baadhi ya Mashekhe wamekuwa wakidai kuwa Kanisa Katoliki hupokea fedha au mgao maalum kutoka serikalini, lakini sijui kama hizi ni tuhuma tu kama nyingine zinazotolewa mara kwa mara, au kama kuna ukweli wowote ndani yake.

Naomba mwenye ufahamu anieleweshe vizuri.
View attachment 3511209
Waliokudokeza hayo ungewauliza:-
-Huwa wanapewa kiasi gani kwa mwaka?
-Fedha hizo hutokana na biashara au maingizo gani?
-Kwa nini walipwe RC tu hadi watajirike?
-Na usisahau kuwauliza,hiyo serikali inayowalipa RC imeamza kuitwa serikali mwaka gani?
-RC lipo kuanzia lini?
-Lina miliki nini(mali,miradi)gani tangu uwepo wake?
-Hilo kanisa limekuwa na mali/kutambulika ni "tajiri" mwaka gani?
Wakikujibu hayo "machache" utapata mwanga.
 
Back
Top Bottom