Ni kweli umeondoka kipenzi?

Ni kweli umeondoka kipenzi?

Hapo ndo naamini men are manipulative unawezaje kufanya mapenzi na Mtu ana matatizo yaani juzi nimeongea na mdada mmoja akaanza kunipa story mme wake anakuwepo Nchini mara moja kwa mwaka yaani hata Ku flirt nae nikakoma maana nitamuongezea matatizo badala ya kumsaidia
Yaan hapo ilibidi umpige kimoja cha chap,au huna nguvu za kiume?
 
Somo nililopata hapa n kuwa TUJIFUNZE KULET GO...
Sasa huyo demu wako angeamua kulet go yote haya yasngetokea angekuwa nawe MLABATA mkila bata
UNLESS IT'S LIFE THREATENING LET IT GO....OVA.
Nilikuwa nikimshauri hivyo pia, ila kwa maelezo yake , it's alot ameinvest kwa kiasi kikubwa then jamaa ndio anamletea uhuni kirahisi rahisi kabisa.
 
Mzee wake sikuwahi kuwa na ukaribu nae, hata Maggie pia hakuwa na mahusiano mazuri Sana.
Tafuta ata mdada aende akamuulizie, mpe details ajifanye ni rafiki yake , walikuwa wanawasiliana sasa ni muda mrefu hampati, au mtafute mama ake fb kisha angalia friends unaweza mpata mtu au ndugu wa karibu na mama ake ambae yupo active fb ujaribu kuuliza kama ana ana habari za Maggie, kama Maggie nae alikuwa na social media fanya hivyo pia, jina la hiyo kampuni kama unalijua jaribu kutafuta wanyakazi wake kwenye social media ujaribu kuuliza, kuwa kama umesoma Cuba 😂.. au tafuta private investigator wa hiyo nchi mlipe akufanyie kazi yako ,chap utapata majibu
 
Genius idea! ✊🏾
 
Back
Top Bottom