Endelea mla mbata malizia au imeisha mdgo angu?Wanasema ndefu inakeraaa [emoji28]
[emoji1787][emoji1787]Anatuchosha bwanahTupo makini balaa,maana mi nataka nione akiandika wamepigana denda tena[emoji85]nimemiss denda la kwenye maandishiii[emoji8][emoji41]
Ebu weka ndefu unazinguaWanasema ndefu inakeraaa [emoji28]
@To yeye wameanza hukuInaendelea....
Baada ya jitihada za jamaa kugonga mwamba anaamua kurudi Ughaibuni, muda unapita hamna mabadiliko yoyote, sio simu wala emails zinazojibiwa. Finally jamaa anaona Kama mbwai na iwe mbwai tu anaamua kublock bank account ya Maggie ambayo walikuwa wakitumia wote "joint account".
Lengo ikiwa ni kumkomoa, aishiwe pesa arudi ughaibuni warudiane.
Hii ilimuumiza sana Maggie na kumfanya atoe machozi ya uchungu, pesa zake/zao, jasho lake lakini jamaa anamkatia access, WHY?
Baada ya kugundua hilo anatoka ATM kwa kilio cha uchungu mpaka nakutana nae.
***************************************
Nilishikwa na uchungu Kama binadamu, hisia za huruma zilizidi hisia za mapenzi, nikaanza kumuhurumia na kumpa maneno ya faraja.
Mpaka kufikia wakati huo ni watu wachache tu ndio tulibakia pale bar, kucheki muda ilikuwa inakaribia saa Saba, ikabidi tufanye utaratibu wa kwenda kupumzika. Kutokana na hali tuliyokuwa, ulevi, uchovu na muda ukiwa umeenda tuliamua kuchukua chumba karibu na maeneo yale.
Licha ya hali ya uzuni na hisia za huruma nilizokuwa nazo lakini nilipata kuenjoy uzuri na "utamu" wa Maggie, hakika ilikuwa usiku wa kipekee sana baina yetu. Na mwanzo wa "ukaribu wetu" wa muda mfupi.
I was expecting this to anyone Dude[emoji38][emoji38]ila mwanetu uwe mkweli uchungu ulikuwa Huna tusidanganyane.
We ulifata uchi wa hybrid
Umetumia busara sanaHapo ndo naamini men are manipulative unawezaje kufanya mapenzi na Mtu ana matatizo yaani juzi nimeongea na mdada mmoja akaanza kunipa story mme wake anakuwepo Nchini mara moja kwa mwaka yaani hata Ku flirt nae nikakoma maana nitamuongezea matatizo badala ya kumsaidia
Watu kama ww n wachche saaaana.Hapo ndo naamini men are manipulative unawezaje kufanya mapenzi na Mtu ana matatizo yaani juzi nimeongea na mdada mmoja akaanza kunipa story mme wake anakuwepo Nchini mara moja kwa mwaka yaani hata Ku flirt nae nikakoma maana nitamuongezea matatizo badala ya kumsaidia
Kaka umeupga mwngiInaendelea.......
Baada ya usiku ule kupita, Ukurasa mpya ukafunguliwa baina yangu na Maggie. Tulikuwa washikaji wa faida. Muda mwingi tulikuwa tukitumia pamoja huku nikienjoy penzi la cappuccino huyu.
Alionekana kuenjoy muda wangu, alipenda muda mwingi kuwa nami, hata wakati nikiwa busy na shughuli zangu hakuacha kunitafuta na kunitaka nikaspend nae, ikumbukwe wakati the guy anamkatia mrija wa asali bado Maggie alikuwa na backup bank account ya mama ake ambayo ilimfanya asurvive, lakini hii haikunifanya niache kumsupport pale ilipobidi.
Mapenzi yalizidi kunoga lakini honestly kuna kitu kilikuwa kipo moyoni mwangu, nilimpenda Maggie kutoka moyoni mwangu, wakati wote sikuacha kumwambia lengo langu la kutaka kuzaa nae, nilitamani siku moja nipate kuwa na watoto wa kufanana nae. Lakini moyo wangu wakati wote moyo wangu ulikuwa ukinipa precaution kuwa she was not really, she was only need to heal herself, that was the problem, kuna muda nilijiona kabisa nakosa kabisa control, mapenzi yananizidi lakini nikasema ngoja nijikite katika kumsaidia kupona maumivu yake then time will tell.
***************************************
Ni takribani miezi mitatu sasa tunaishi na Maggie kwangu, raha furaha na machozi ya kutendwa yalikuwa sehemu ya maisha yake na haikuwa na budi kuhandle na kuishi hali zake zote.
Tayari muda wake wa kuishi bongo ulikuwa unaelekea ukingoni, huku pesa nazo zikielekea kuisha, ilikuwa ni wakati mgumu sanaaa kuona Maggie anaondoka, tayari nilishamzoea. Tayari alishabadilika, huzuni ilishaanza kupotea usoni na nuru ilianza kuwepo kwenye sura yake.
Tayari alishanitambulisha kwa mama ake na mara nyingi tulikuwa tukizungumza na "mkwe" tukiwa na Maggie, na wakati mwingine tukizungumza wawili. Niliona na kutamani future yangu na Maggie. Kuna muda nilikuwa nikifumba macho naona picha yetu Kama familia.
Muda unafika , Maggie anatakiwa aondoke, huzuni ilitanda lakini tulikuwa na mipango ya mbeleni, Maggie alitaka arudi ughaibuni akafungue kesi ya kudai Mali zake kutoka kwa fiance wake na Kisha aanze upya maisha yake na Mla Bata ughaibuni, niliona ni ngumu saaanaa lakini alikuwa akinipa moyo kuwa inawezekana sababu anafahamiana na wanasheria watakaoweza kumsimamia katika hilo.
Siku ya jumapili ya mwanzo wa mwezi wa tatu mwaka huu Maggie anaondoka, nakwenda kumuaga airport na ndio mwisho wa kuonana kipenzi wa roho yangu Maggie, aliyetokea kuuteka moyo wangu kwa muda mfupi sanaaa.
***************************************
Maggie anawasili Ughaibuni, baada ya kutua airport na begi lake, kituo cha kwanza ni ofisini kwake/kwao, akitaka kuonana na aliyekuwa fiance wake, anakatazwa kuingia ofisini kwake, anaaza kufanya fujo, ghafra askari wanafika na kumchukua kwenda kituoni kwa mahojiano. Anapokonywa simu na kukaa lockup kwa siku nne.
Huku bongo namtafuta Maggie wangu kujua yu hali gani Kama kafika salama au la, hakuna majibu, nachanganyikiwa. Napiga simu, natuma Messenger, natuma email hakuna feedback, nazidi kupagawa.
Inapita wiki nakuja kuona ujumbe messenger, Maggie ananieleza yote yaliyotokea huku wakati huo akiwa kwenye apartment ya mama yake. Hasira, machozi vinarudi tena kwenye uso wa Maggie, naanza upya kazi ya kumbembeleza.
Baada ya lile tukio Maggie anamtafuta the guy na kumwambia ampe funguo ili aamishe vitu vyake huku akimwambia azma yake ya kufungua kesi ya kudai Mali zake. Mzungu anaona hapa naenda kupoteza Kila kitu, anaamua kucheza mchezo mchafu, ashaona hakuna dalili ya kurudiana na the girl and this time anaenda kukosa Kila kitu, pesa na mchumba, what next?
Hajibu msg Wala calls za Maggie, Maggie anaamua kumfuata tena ofisini this time akiwa na adabu zake, but ilikuwa kosa kubwa Sanaa, Mzungu anaamua kutake hi opportunity kwenda kumshitaki Maggie polisi, Maggie anafunguliwa case ya harassment.
Case inafika mahakamani, Maggie haruhusiwi kumsogelea the guy, office yake, Wala nyumbani kwake (yao) kwa mita mia moja. Maggie haruhusiwi kusafiri nje ya mipaka ya nchi mpaka case itapoisha na haijulikani ni lini, Maggie hana access ya vyeti documents wala academic certificates zake ambazo zote zipo nyumbani kwa the guy.
Maggie hawezi kuomba kazi at this time, anashinda kwenye apartment ya mama ake 24/7, ulevi kupindukia ameurudia tena kwa kasi ya ajabu, ile nuru iliyokuwa imeanza kurudi kwenye uso wake sasa imepotea, Kila nikipiga simu ni kubembeleza na kumuomba akae sawa lakini haisaidii.
Stress zinamzidi, sasa wazo la kujiua linamjia Kila nikizungumza nae ni swala la kujiua tu, anakili amechoka na maisha, haoni sababu ya kuishi, hataki niongee na mama yake tena, bado nia yake ya kujiua ipo pale pale.
May mwaka huu aliniomba nimpe wiki tatu ili aweze kufanya self recovering, hataki contact na mtu yoyote, ilikuwa ngumu Sana kumuelewa lakini ilibidi niheshimu maamuzi yake. Wiki tatu zinapita, mwezi, miezi imepita Maggie hapatikani popote, Sina access ya mama yake, nimetuma emails, sms messenger, etc lakini sijapata kusikia sauti Wala ujumbe wa Maggie, mwaka unaisha sijui Kama Maggie Kama yupo hai ama amejiua, sijui yupo Uraiani ama amefungwa, namkumbuka Sana Maggie, mrembo alietokea kuuteka moyo wangu kwa muda mfupi Sanaa.
I wish siku nisikie au kupata ujumbe kutoka kwake, Kila siku najiuliza
"Ni kweli umenitoka kipenzi"
Ila sipati jibu.
Mla Bata.
MWISHO
Tufunge Safar twende ughaibun[emoji23]Inaendelea.......