Ni kweli tendo la ndoa hupunguza hasira

Ni kweli tendo la ndoa hupunguza hasira

Kwa wataalam wanaojua naomba kujuzwa hilo, nigundua siku nikifanya tendo hilo na my wife asubuhi, huchangamka na siku hiyo kisarani huwa hana kabisa

Kwani mkeo ni mjamzito??? Basi unayo kazi maana hasira zake kila siku zizimwe kwa kukung'uta gia box.

 
Kuna mmarekani anaitwa Woody Allen katika mahusiano aliandika hivi ..''SEX alleviates tention but LOVE causes it''
 
Mtatufanya Wakurya tuishe katika jamii kwa kutafuta ngono ili kupunguza hasira. Au kwa mantiki nyingine Ina maana sisi Wakurya hatushiriki sana Ngono ndio maana hasira nje nje!?
 
Mimi hasira zangu zipo kwenye meno, nikipata chakula mambo swadaktaaa!
 
Back
Top Bottom