Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Kwenye taarifa za gazeti la guardian uk zilizonokuu na kuchambua taarifa zilizovujja kupitia wikileaks wanasema Tanzania haina Air force .
Nawasilisha kwa Mjadala
...................Tanzania, which has no air force, bought the military air defence radar from BAE in 2001 for £28m.......................
Sourcehttp://www.guardian.co.uk/world/2010/dec/19/wikileaks-cables-tanzania-bae-fears?INTCMP=SRCH
- Je ni kweli Tanzania hatuna airforce
- Sifa za Airforce ni nini
- Kama hatuna je ni muhimu tuwe nayo na kama tunayo umuhimu wake kulinganisha na force nyingine ni upi ?
Nawasilisha kwa Mjadala