Ni kweli Sumbawanga kuna uchawi?

Ni kweli Sumbawanga kuna uchawi?

Acha umbumbumbu Kila Kona ya nchi hii Kunanuka uchawi.
Yapo maeneo yameyazidi maeneo mengine mkuu.

Kwa Sasa hapa nipo Likungulyabashashi yaani kifupi ni ndani ya mkoa wa Simiyu ila huku Gambosi inasifika na upo ushuhuda wa wazi.

Wilaya Moja ya Itilima ina waganga 4000 waliyosajiliwa na serikari, Sasa jiulize Kuna wachawi wangapi

Sumbawanga nimeishi miaka minne hivyo tafadhali niache na ubishi wangu.

Ila jiulize swali kwa nini wakenya wamejaa sumbawanga?
 
Hakuna cha uchawi wala nini bora umekuja umejionea
 
Ni kama vile zile story za tanga ukikuta kifuu usikipige teke kitakwambia umenipigia nini au uchume embe likwambie nirudishe uliko nitoa nilikua naogopa kuja kwa kweli lakini toka nimefika haya mambo sjayaona
Weee! hujaingia kwenye 18 zao..

Kuna rafiki zangu kadhaa wamekufa kwa kutembea na wake za watu tu...,yaani tangu kumaliza tendo mpaka anakufa uume umesimama kama chuma yaani.
 
Back
Top Bottom