Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,226
Wakuu mtaniwia radhi kama hii itakuwa ni duplication. Kuna swali ambalo nimekuwa najiuliza mara kwa mara kuhusu kauliza za Mh Chikawe.
Kwa mtu anayeifahamu katiba ya Tanzania, na madaraka tuliyompa Rais kuna anayeweza kuamini kuwa Ris Kikwete hana uwezo wa kuwashughulikia mafisadi? nini kinamshsinda wakati Rais yuko juu ya Sheria na juu ya vyombo vyote vya dola?
Maana yake nini tunapoambiwa na serikali kuwa serikali yetu haiwawezi wahalifu? Do we really need to have this kind of leaders in our government. Can we seriously believe that an individual in Tanzania can be powerful than all of us?
Is there anything not known to the public that wezi walitumia ujanja ili wasionekane lakini wanajulikana beyond reasonable doubt?
Waziri kusema Rais hawezi maana yake nini? maana yake sheria zetu hazimpi Rais madaraka au??