apakak
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 896
- 662
Leo yuko shein kesho akija wa chama kingine mwenye mamlaka hayo mafano seif?maana ndio mkuu wa vkundi vya ulinzi kama kmkm.
Vikundi vya ulinzi kama kmkm havina zana nzito za medani.Military tacticians wa JWTZ sio wajinga ku arm hivyo vikundi na silaha nzito za kimapigano
Hivyo vikundi havina artillery mortars,APCs.fighter jets,radar defence systems.long range missiles na kadhalika
Nacho jaribu kusema ni kuwa hata kichaa kama Hitler awe Rais wa Zanzibar hivyo vikundi vya ulinzi havitaleta adhari zozote kubwa kiusalama
Huwezi kuvuruga amani na SAR au SMG.JWTZ has outgunned all other defence forces