Juzi, Tundu Lisu akichangia ktk Bunge la Katiba alitoa madai mazito kuwa kwa Katiba ya sasa ya Zanzibar, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, hapigiwi mizinga 21 kama Itifaki inavyopasa kwa Amiri Jeshi Mkuu. Kwa bahati mbaya hakuna taarifa kinzani iliyojibu tuhuma hizo na badala yake mipasho ikaendelezwa badala ya kujibu hoja hiyo ambayo ni nzito.
Nilitatajia Makamu wa Kwanza wa Rais wa SMZ, au hata wajumbe wengine wa CCM wangeomba mwongozo au kulitoa taarifa suala hilo. Vyombo vya habari navyo, havikuona uzito wa hoja hiyo ambayo, kama ni kweli basi huo ni ukiukwaji mkubwa sana wa Katiba ya JMT.
Humu JF kuna wadau wengi kutoka Zanzibar kama vile Mwiba, zenjiboy, Kichuguu, na labda hata Mawaziri wa SMZ chini ya IDs za siri.
Naomba kuelewa wadau, haya madai ni ya kweli?

Last edited by a moderator: