Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Hicho ndiyo kitu pekee kinachowawafanya wamchaue muhongo siyo vinginevyo mafisadi miradi yao na Tanesco sasa imekwama wanaona mchawi ni muhongo tunasema kwenye hili jk usikosee kumtoa tunataka aendelee kuweka mambo sawa pale wizara ya nishati na madini wizi wa akina mengi na mkono na wenzi wenzao umefika mwisho hizo bilioni 62.2 alizolipwa mkono yatosha sasa.Muhongo amewabana mafisadi wakiokuwa wana makampuni binafsi ya kutoa huduma tanesco kwa njia za kifisadi
Sure mkuu lakini hapo ndipo utajua kuwa pesa mbaya kama inaweza kununua mpaka wabunge wakaimba nyimbo za mafisadi hatari sana mbatia kajengewa ghorofa kwenye hili sakata kazi kweli.Mkuu, hakika kwenye hili suala la escrow kuna watu wanajitoa ufahamu kabisa
Zitto alipotoaha muhongo alisema hivi,yule mwanasheria alimdanganya mwajiri akapata hiyo ruhusa kwa madai kuwa anakwenda na mwakilishi toka kwa AG kumbe anakwenda mwenyewe ili akafanye dili zake pia alizokuwa ameahidiwa na wazungu wake.Swali dogo tu.. Kwanini aliongopa pale bungeni alivyodai ya kuwa yule mwanasheria wa Tanesco hakutumwa na mwajiri wake kwenda kufanya due diligence kule Malaysia..? Na akadai kabisa kwamba aliishauri bodi imshtaki kwa kudanganya..?
Pesa ilimuua yesu, itawaachaje binadamu kama ZITTO na KAFULILASure mkuu lakini hapo ndipo utajua kuwa pesa mbaya kama inaweza kununua mpaka wabunge wakaimba nyimbo za mafisadi hatari sana mbatia kajengewa ghorofa kwenye hili sakata kazi kweli.
Lakini nadhani ifike wakati wanausalama wshughurike na watu kama mengi mbona kenya watu kama hawa wanatunguliwa na habei yao inakwisha mapema kabisa hatuwezi kuwa na mtu anayetaka mafanikio yake pekee huku akimwagia watu wengi mchanga kisa tu anavicenti vyake vya wizi na dhuruma.Hakika Mkuu. Mengi anaiweka nchi yetu kwenye wasiwasi mkubwa
Wewe una uthibitisho au zile swaga za MBOWE bungeniSwali dogo tu.. Kwanini aliongopa pale bungeni alivyodai ya kuwa yule mwanasheria wa Tanesco hakutumwa na mwajiri wake kwenda kufanya due diligence kule Malaysia..? Na akadai kabisa kwamba aliishauri bodi imshtaki kwa kudanganya..?
Tena hawa wanahongwa pesa ya kawaida sana hawajitambui.Pesa ilimuua yesu, itawaachaje binadamu kama ZITTO na KAFULILA
Chuki zenu na mengi kwa muhongo zitawafikisha pabaya sana ila mungu atasimama na muhongo daima hana kosa ni hujuma na fitina za wafanyabiashara mafisadi waliobanwa kuinyonya wizara ndiyo chanzo cha muhongo kuchukiwa.
Muhongo amaziba mianya ya wizi ya wafanyabishara wasiokuwa na uzalendo ndiyo maana kutwa wanamtafuta angalia mengi na mkono wanavyomwandama kisa tu mengi amekosa kitaru cha gesi na mkono kuondolewa kuwa advocate wa Tanesco baada ya kubaini kuwa anafanyabishara badala ya kuitetea Tanesco.
Chuki zenu na mengi kwa muhongo zitawafikisha pabaya sana ila [mungu atasimama na muhongo] daima hana kosa ni hujuma na fitina za wafanyabiashara mafisadi waliobanwa kuinyonya wizara ndiyo chanzo cha muhongo kuchukiwa.
Wewe una uthibitisho au zile swaga za MBOWE bungeni
ukisoma hapa itakuongezea marifa zaidi.
[h=2]Ukiondoa sababu ya kutoelewana na Reginald Mengi, sijaona sababu ya Prof. Muhongo kung'oka[/h]Wana jamvi, ni matumaini yangu kuwa bado mnaendelea kutafakari mapendekezo hovyo ya Kamati ya PAC yaliyozaa maazimio hovyo ya Bunge juu ya sakata la Akaunti ya ESCROW. Mjadala mkubwa hapa JF kwa sasa ni juu ya sababu ya msingi ya kuondolewa kwa baadhi ya mawaziri kwa kuhusika kwao na sakata la ESCROW achilia mbali utata uliogubika mwenendo mzima wa uchunguzi wake. Ni bahati mbaya sana Ripoti ya CAG haikuainisha makosa ya msingi ya kuondolewa kwa Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo au hata Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Eliakim Maswi. Hakika hawa jamaa nawaadimire sana kwenye kazi zao. Wameleta displine kwa shirika la umeme na wamevuruga sana miradi ya kifisadi ambayo ilikuwa inapoteza mapato mengi sana ya TANESCO.
Wadau, kuna msemo usemao kuwa mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Ni aibu kwa kamati ya PAC kupendekeza waziri na Katibu Mkuu wa Nishati na Madini wang'oke kwa sababu zisizoeleweka. Eti wanasema kuwa Waziri anaondolewa kwa kusema kwake uongo bungeni. Haya tuambieni, kauli aliyotoa Muhongo ni ile ile aliyotoa Waziri Mkuu Pinda kuwa fedha zile si mali ya serikali wala TANESCO bali ni mali ya IPTL. Pia Naibu Waziri Stephen Maselle alitoa kauli hiyo hiyo ambayo ilitokana na ruling ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Werema. Sasa hapo kosa la Muhongo na Maswi lipo wapi?
Sababu ya pili iliyoainishwa na akina Zitto eti ndo sababu ya Waziri Msomi tena aliyeliletea manufaa makubwa shirika na wizara kwa ujumla wanasema ni kuwa dalali. Eti kwa vile wamiliki wa IPTL na wa PAP walikutana ofisini kwake. Hakika inashangaza sana. Yaani waziri na Katibu Mkuu hawaruhusiwi kukutana na wawekezaji wawe fake au halali? Nani anatambua kuwa mwekezaji fulani ni fake au halali? Hakika inachelesha sana. Nimefuatilia mijadala juu ya sababu ya kuondolewa kwa Viongozi hawa hakika kila mmoja anajikanyaga.
Jamani ifike wakati tuwe wakweli kusema ukweli. Wengi waliopiga kelele ili Maswi na Muhongo waondoke ni wale wale ama waliwahi kukwaruzana hapo nyuma kama ilivyo kwa Ole Sendeka dhidi ya Muhongo, au Kafulila dhidi ya Maswi. Usitegemee kuwa hawa wabunge watakuwa mabalozi wa mahasimu wao.
Wengine wanaopiga kelele ni wale waliotajwa kula mlungula kutoka kwa Reginald Mengi. Tena hawa walikuwa wanaongea kwa jazba kubwa utafikiri wana uchungu kumbe wanatetea rushwa waliyokula. Binafsi hii ndo naona sababu ya msingi ya Muhongo na Maswi kuondolewa. Rushwa rushwa rushwa. Mbowe ananuka rushwa. Zitto ananuka rushwa. Kafulila ananuka rushwa. Mbatia ananuka rushwa. Mnyika ananuka rushwa. Ole sendeka ananuka rushwa. Serukamba ananuka rushwa nk nk. Ndo maana Spika wa Bunge amekemea sana wabunge kupewa fedha kutoka kwa wafanyabiashara ili wawasulubu Mawaziri. Hii ndiyo sababu ya msingi.
Pamoja na kutupandishia bei ya umeme bado Tanesko imeendelea kupata hasara kubwa mwaka hadi mwaka[/Q
OTE]
USIKARIRI MKUBWA, JIULIZE NINI KINASABABISHA HASARA TANESCO?MIKATABA YOTE YA KUZALISHA UMEME INAYOIGHARIMU FEDHA NYINGI HAKUISANI YEYE.KUZEEKA KWA MITAMBO KUNAHITAJI SERIKALI KUPITIA BAJETI IWEKEZE.WADAIWA SUGU KAMA SMZ.JESHI NA TAASISI ZA UMMA NI KAZI YA CEO NA WALE WANAOBEMBELEZA MUUNGANO WA KIJINGA.