Hatumshangai huyo nepi mbona hamtambui hata baba yake mzazi ?Atuambie lini alienda kumuona Profesa huko India anakougulia?
Kadri siku zinavyokwenda, uwezo wa kufikiria wa huyu kijana mwenzetu unashuka kwa kiwango kikubwa. Kwa sasa umefikia lever ya Makamba Snr!(Uropokaji nakusahau alichoong Baada ya mwaka nafikiri atakuwa lever ya Kingendu ( msanii mchekeshaji asiye na mvuto)
kuna mtu aliniambia kila anayetamani kushikisha wenzao ukuta ni hasira za yeye kushikishwa ukuta akiwa mtoto,sasa huyu dogo msimlaumu sana labda akili ilidumaa kwa sababu ya hiyo kitu kupigwa sana.
tumwombee alikuwa mlokole alituimbia kanisani hapa singida kumbe masikini ya mungu alikuwa ameshaathirika kisaikolojia,alikuwa anasubiri akue apate madaraka ili aje kulipiza visasi ila namshauri kama ni visasi awalipie hao wazee wa ccm waliomlaghai na kumshikisha hiyo kitu.
masini yule mzee na uadilifu wake alifikiri ndani ya chama ni wa\zee wenzake kumbe wanamuharibia mtoto.
Kumjadili Nape ni kumpa umaarufu usio wake. Kitendo chake cha kuporomosha matusi Jukwaani kimenifanya nimuone kama kiongozi mwehu na kuanzia sasa sitajadili lolote limhusulo Nape. Ni kupoteza muda tuu.
Hatumshangai huyo nepi mbona hamtambui hata baba yake mzazi ?Atuambie lini alienda kumuona Profesa huko India anakougulia?
Nape anamjua huyu kamanda tu
Nimesahau Mbowe ndiyo unanikumbusha wewe,
[/QUOTE ukitaka kumwelewa kuwa mtu ni mpumbavu haiwezekani husiwafahamu wanaumme walisababisha mwenyekiti wako akatangaza ideology ya kujivua gamba,alaa nape hivi wewe ni mpumbavu kiasi cha kushindwa kujua kuwa wanaumme hawa ndio walisababisha sekretarieti ya chama chako ikajiuzulu nawewe kuukwaa ukatibu ueneziiiiiii?
Nape is right; yaani CHADEMA kama kimekufa sasa, maandamano hatuyasikii, Slaa na Mbowe nafikiri wanasubiri uchaguzi mkuu 2015, hawasikiki kwenye vyombo vya habari, hata wakialikwa kwenye jambo tanzania hawaendi, kipigo cha igunga kimewachanganya bila shaka!
Nafikiri Nape ni mwendawazimu sio bure,kweli hamjui Dr. Wa ukweli wakati ndiyo anae wanyima usingizi magamba?hivi JK anaposikia kauli kama hizi kutoka kwa katibu mwenezi wake anajisikiaje?
Eti eeeh...!??Sasa subiri hapohapo.Nape is right; yaani CHADEMA kama kimekufa sasa, maandamano hatuyasikii, Slaa na Mbowe nafikiri wanasubiri uchaguzi mkuu 2015, hawasikiki kwenye vyombo vya habari, hata wakialikwa kwenye jambo tanzania hawaendi, kipigo cha igunga kimewachanganya bila shaka!
hi hi unataka kusema anatukana kwa sababu ana hasira babake ''mzazi'' kuwa poisoned hivyo anataka kukichafua chama au unamaanisha nini hapa?