Ni kweli Muhammad aliwahi kulogwa?

Nimemsikia Babu Tale akisema Mtume Muhammad aliwahi kulogwa

Inawezekanaje mtume wa mwenyezi mungu analogwa kama kweli uchawi upo ?
Alidai mwenyewe anahisi kuchezewa na mashetani, sasa sijui ndo kulogwa kwenyewe?...
 
Nani alimuagua?
 
Alipewa busha??

btw unafahamu kwamba kwa muslims wa pwani kuwa na busha ni sifa? sifahamu kama (busha) inahusiano na islam au ni utamaduni tu wa watu wa pwani lkn najua kwamba wenye mabusha na kusifiwa wote ni muslims ...
 
Nitafahamu vipi mkuu mimi natokea Kanda ya Ziwa
 
Nani alimuagua?
Kutoka maktaba;
Kupona kwa Mtume: Mwenyezi Mungu alimuongoza kupitia Malaika Jibril ambaye alimjuza mahali kilipofichwa kitu kilichotumiwa kufanya uchawi huo (kisima cha Zirwan), na Mtume aliamuru kitolewe, kisha akapona kabisa baada ya kusomewa au kushushwa kwa Surah al-Falaq na an-Nas (Al-Mu'awwidhatayn).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…