Ni kweli mapenzi ya siri yana ukomo wake.

Ni kweli mapenzi ya siri yana ukomo wake.


Kama umaona mkeo amewazidi wote mpaka ukampa "golden chance" kwanini utangetange nje?? Huku unajua kabisa "Ukimwi unaua na kama condom zinakinga mbona maambukizi yanaongezeka". TAFAKARI NA UCHUKUE HATUA.
Umenikosea kidogo, hapa nilimaanisha vijana wanao tafuta wake sio wenye wake....Hope tutakuwa pamoja
 
Sasa nimtambulishe wakati nna uhakika sina future naye?

Au unaongelea wapenzi wa aina gani?

Yaani nimtambulishe kimada wangu kwa mke?

Fanya maamuzi sahihi, chagua mmoja kati yao ambaye unaona anastahili, jaribu kubadilika kwani haukuumbiwa wote hao bali mmoja tu.

Hebu fikiria utakua na wangapi?? Na je mpaka lini utaendelea na tabia hiyo???
Jaribu kubadilika.
 
Km m2 huna malengo nae haina haja ya kumtambulisha,leo rose kesho amina ndo nn? Bora uendelee kumtafuta m2 wa ukwel huku ukiwa nae,ikishndkana kabisa ndo itabd kwl.
 
Ninachotaka mimi ni kuwa na msimamo kwa maamuzi uliyoyachukua kabla haujamkabidhi mtu mwingine moyo wako/ fall in love kwa mtu, it means kama umeamua kuwa na mtu kwanini usichukue uamuzi wa kumtambulisha kwa rafikizo???
Kama umeona mkeo hakutoshelezi kwa namna moja au nyingine kwanini usimweleze ukweli ili ajue ni wapi pakujirekebisha???

my friend... ili uwe na uthubutu wa kumtambulisha mtu kwa watu wako wa karibu friends, ndugu n.k
u need to be sure of what ya doing na uwe umejiridhisha vya kutosha. Mind u.... tabia za mtu na hii to me ndo key factor kama mna malengo ya badae HAIBANDIKWI usoni.

kumbuka mahusiano hayaanziii kwenye UCHUMBA ... !
 
my friend... ili uwe na uthubutu wa kumtambulisha mtu kwa watu wako wa karibu friends, ndugu n.k
u need to be sure of what ya doing na uwe umejiridhisha vya kutosha. Mind u.... tabia za mtu na hii to me ndo key factor kama mna malengo ya badae HAIBANDIKWI usoni.

Mpaka mtu kufikia uamuzi wakumtambulisha mtu ni lazima umejiridhisha vyakutosha sio kukurupuka tu nakufanya hivyo sidhani kama ni uamuzi sahihi,
Chamsingi ni kufanya uchunguzi yakinifu kwa kile unachotarajia kukifanya, ukifanya hivyo hakutakuwa na chembe yoyote ya lawama kwa yeyote yule.
 
Habari zenu wana MMU!!!
Mimi kama mimi kwa mtazamo wangu naona mapenzi ya siri yana ukomo wake.
Unapokuwa unapenda mapenzi ya siri sana, unampa wakati mgumu mwenzako.
Ni rahisi kufikiria kwamba, unafanya hivyo kwa kuwa ama hujiamini au una mtu mwingine. Weka mambo hadharani. Mtambulishe mwenzi wako kwa marafiki zako.

Jiamini, unapokutana na mtu uliyesoma naye zamani au kuishi naye sehemu moja, mwambie kwamba uliyenaye ni mwenzako na unatarajia kuingia naye kwenye ndoa. Kufichaficha kunaondoa utamu wa mapenzi. Kunazidisha maswali ambayo hayana majibu. Kama yapo ni huyo mwenzako kujijibu mwenyewe. Kwa kawaida, hatajipa majibu mazuri. Yatakuwa ya kinyume – yenye tafsiri mbaya. Kwamba yawezekana hutaki kumtambulisha kwa kuwa una mtu mwingine.

Je, ni kweli? Kama ndivyo huna sababu ya kumpotezea muda mwenzako. Kama si kweli, basi amka. Gundua kwamba ulikuwa unafanya makosa na uanze ukurasa mpya.


Ni mtazamo tuu,hata wewe waweza kuwa na mtazamo wako.






Sasa umtambulishe ilhali ni beki tatu wa kwako? na wewe umeoa?

Sema ni kweli...hutaweza kuficha kwa muda wote minong'ono itaanza tu....hutajua hata imetokea wapi!!!
Dawa ni kuachana na mapenzi ya siri!!
 
Back
Top Bottom