InawezekanaKwahiyo tunaooga Ruvu wajanja kuliko mnaooga Swimming Pool?
Au tunaooga kwenye shower ni bora kuliko wanaoogea ndoo?Kwahiyo tunaooga Ruvu wajanja kuliko mnaooga Swimming Pool?
Kwahyo kiroho si vizuri kuoga kwenye swimming pool, vipi kwenye ile fani ya zamani ya ulozi je mtu hawezi roga maji yanayotembea yakaleta madhara mfano magonjwa ya milipuko, miwasho n.kNi kwakuwa hayajatuama.. Maji yaliyotuama hubeba kila kitu cha kiroho na cha kimwili pia.. Lakini yatembeayo huwa na hulka ya kuweka pembeni vichafu vyothe
Hakuna maji machafu kama hayo ya swimming pool maana hayatembei yako yametuama tu... Mikojo, janaba, damu za hedhi, manii,nuksi, majasho, chembechembe za vinyesi, vikwapa na uchafu mwingine wote mnaugawanaKwahyo kiroho si vizuri kuoga kwenye swimming pool, vipi kwenye ile fani ya zamani ya ulozi je mtu hawezi roga maji yanayotembea yakaleta madhara mfano magonjwa ya milipuko, miwasho n.k
Neno la mwisho kama la kiswahili hivi, lakini pia kama la kimbare 'chathu' hivi, ni ubunifuNi kwakuwa hayajatuama.. Maji yaliyotuama hubeba kila kitu cha kiroho na cha kimwili pia.. Lakini yatembeayo huwa na hulka ya kuweka pembeni vichafu vyothe
Je?Maji yanayotembea wanasema ni masafi kwa matumizi kuliko yaliyotuama.