Ni kweli Lema kawakimbia polisi Arusha?

Zeddicus Zu'l Zorander

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
797
929
Kwenye gazeti moja la kila siku leo limeandika muendelezo wa kesi ya Lema huko Arusha, pamoja na hayo pia limeeleza kwamba Mheshimiwa aliwakimbia polisi na kuwaacha wananchi wakipambana na polisi. Vyanzo vingine vinadai arihutubia mpaka mwisho,naomba huhakika wa jambo hili kutoka kwa wanaJF mliokuwepo eneo la tukio,kwasababu kama itakuwa ni kweli alikimbia itakuwa inatuvunja nguvu sana wapambanaji katika kutetea haki zetu.
 
Kuna jamaa yangu alikuwepo mahakamani ni kweli aliwakimbia polisi..

Uwezi kuamini Lema, kama ana mbio kama mwanariadha
 
polisi wenyewe wa kukimbiwa wako wapi? Ukienda kenya polisi wa kenya wanakwambia TZ hakuna polisi kuna uniform
 
Kwenye gazeti moja la kila siku leo limeandika muendelezo wa kesi ya Lema huko Arusha, pamoja na hayo pia limeeleza kwamba Mheshimiwa aliwakimbia polisi na kuwaacha wananchi wakipambana na polisi. Vyanzo vingine vinadai arihutubia mpaka mwisho,naomba huhakika wa jambo hili kutoka kwa wanaJF mliokuwepo eneo la tukio,kwasababu kama itakuwa ni kweli alikimbia itakuwa inatuvunja nguvu sana wapambanaji katika kutetea haki zetu.

siyo kweli sababu hutaki iwe kweli. Jambazi yule ataacha kukimbia, alishazoea kuwakimbia Polisi tangu akiwa anafanya hiyo kazi. Alikuwa anajihusisha na wizi wa Magari na kupeleka katika underground garage inayomilikiwa na Watoto wa mwasisi wa CHADEMA pale Arusha. Waulize watoto wa kingstone watakwambia. Bado ana kumbukumbu ya kukurupushwa na Manjagu ndo maana anakimbiakimbia hovyo.
 
Naona hili ni jukwaa la kuchafuana.

Wewe vipi Lema kuwakimbia polisi ni kuchafuana? Ucha unafika wako..

Mbona wewe unamchafua Zitto kuhusu Amina Chifupa, au wewe una kibali cha kuchafua watu humu JF
 
www.jamiiforums.com/celebrities-forum/2787-kashfa-nzito-zitto-vs-amina-chifupa-19.html
Wewe vipi Lema kuwakimbia polisi ni kuchafuana? Ucha unafika wako..

Mbona wewe unamchafua Zitto kuhusu Amina Chifupa, au wewe una kibali cha kuchafua watu humu JF

hebu pitia hiyo thread na uone kama ni mimi ndiye niliye ipost
 
Wewe vipi Lema kuwakimbia polisi ni kuchafuana? Ucha unafika wako..

Mbona wewe unamchafua Zitto kuhusu Amina Chifupa, au wewe una kibali cha kuchafua watu humu JF

Naomba unijulishe kama Lema na Zitto wana bifu, mi mwenzio sikuwepo mjini nimepitwa na mengi.
Si unajua kijijini kwetu Ndukulukudusucho hamna umeme, hamna barabara hata ya vumbi na hamna kabisa mawasiliano? Hata redio hazishiki, mpaka Mtemi apige la MGAMBO ndio tunapata news za mbio za mwenge
 
Wewe ndio tujulishe ulichopost kwenye thread ya "Zitto Aheuka" na unafiki wako
 
nilipishana na maandamano ya lema pale posta ya meru nyuma yao kukiwa ma gari mbili za polisi wakiwa kama hasini pamoja wengine wakitembea kwa miguu walipofika kwa mkuu wa wilya ambapo zipo ofisi za mbunge wa arusha mjini lema akapanda jukwaani akaanza kuhutubia nipofika pale nikapitiliza kwenda kaloleni yaliyofuatia sikuweza kufuatilia.
polisi walikuwa kibao kwa hiyo lolote lingeweza kutokea.
 
Lakini kweli Jamaa yuko fiti kwenye mbio, hii inatokana na utaalamu alionao wa miaka mingi katika shughuli zake za kijambazi.
 
Wana CDM kuweni makini kuna mamluki humu cjui wametumwa na nani wanajaribu kujifanya wana CDM ili kutuchonganisha wenyewe kwa wenyewe tusipokuwa makini tutajikuta tunatoleana maneno machafu wenyewe kwa wenyewe plz kabla hujamjibu mtu tafakari kwa kina.
 
Kuna jamaa yangu alikuwepo mahakamani ni kweli aliwakimbia polisi..

Uwezi kuamini Lema, kama ana mbio kama mwanariadha

Kuna jamaa yangu kanambia wewe ni shoga! Huwezi amini mambo yako ni vidole juu
 
Nasikia wakati huo ilikuwa tayari ameshakula ile kitu ya Arusha.
 
lema ana kitu kinaitwa life education'hawezi kukimbia kimbia ovyo'kama zito na lema wana bifu inatokana na tofauti kubwa ya uwezo wao wa kufikiri'life education aliyo lema sijui kama zito anayo
 
Back
Top Bottom