Braza bado.... na hata wakiajiriwa lazima watabaki maana wanamaliza zaidi ya elfu 1 huku serikali ikiwa na uwezo wa kuajiri mia 5 kwa mwaka.Habarini,
Jamaa wangu kaniambia kuwa hata waliomaliza medicine ambao kwa sasa walitakiwa wawe wakitoa huduma za kitabibu wako mtaani.
Kuna ukweli wowote?
Walikurupuka wakafkr sifa kununua ndege na kuacha kilio kwa vjana, inawapa faraja labda maana kwa ukimya walionao hakika hawaoni sababu ya kufuta machoz ya vjana!wewe ulisikia wapi ajira za madaktari au walimu zimetoka? ukitaka kujua hili, nenda ktk page ya fb ya wizara ya afya, kule utakutana na vilio kuhusu ajira. serikali ya wanyonge iko kimya kwakua imefirisika. na pesa kidogo iliyopatikana, ilitumika kimakosa kununua ndege