Ni kweli kwamba papa ni freemason?

Jaman hii thread ni ya 2012 msije mkasahau so labda alieanzisha atuko nae tena?? maana huo mwaka ndo neno freemason lilienea TZ After kifo cha Kanumba
 
Kama Kiongozi Mkubwa kabisa wa Wakatoliki, ameamua kuwa Shetani, Wakatoliki si wamtoe roho tu? Wanasubiri nini?
Huo ni uzushi tu!!, wenye lengo la kutuvuruga sisi Wakatoliki Lkn MUNGU Mwenyewe atatupigania,wataaibika Sana.
 
Hujui kitu chochote wewe, unaongea tu.
 
Akili zingine ni za kipuuzi sana.
 
Gusa hapa uone linavyomiliki dunia Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…