Ni kweli kwa wanawake na wanaume..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli kwa wanawake na wanaume.....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by majogajo, Nov 5, 2011.

 1. m

  majogajo JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hivi ni kweli mtu wa kwanza kufungua(kubikiri) ni vigumu kuendelea nae kwenye relation mpaka mkafunga ndoa??????
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Majogajo labda utuambie umetumia vigezo gani??
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Mwananke anaweza kuendelea mpaka kwenye ndoa.
  Mwanaume inaweza kuwa ngumu.
  Akishazoea kubikiri atataka kubikiri wanawake wengi.
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  mmh............ushaumiza mtoto wa watu !
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Hii nayo kali. Wazee mambo haya ya kubikiri hivi yana raha gani, maana wengine mapenzi tumeanzia ukubwani sasa mnavyoongelea bikira mnatufanya tuanze kutamani dogodogo ambazo bado ziko natural/virgin za primary. Mbona mnatujengea mazingira ya kwenda jela waziwazi wajemeni, acheni kuongelea hayo mambo
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ni kweli wanabaki kuwa mahawala kila wakikutana wanakumbushia
   
 7. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mh usinishangaze una uhakika?
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  hahaha.... Ndyoko umeniweza!!! lol.... Haya basi....

  Sio kwamba ni vigumu sababu anakua hafai tena.... Hapana! Ni simply because mara nyingi majority wanapoteza hali ya u-bikira between the ages of 15 - 19 years... Umri ambao watu wanakua bado ni young kufikiria suala zima la kufunga ndoa.Imagine wee ni kijana wa miaka 19 unaanza na binti wa miaka kama 16/17/18 hivi kweli unategemea kuoana kupo?? Kumbuka maisha yamebadilika kuna kuhama makazi, kuenda shule za mbali mbali, kukutana na more interesting pple na the like... BUT hata hivo kuna exceptions za watu ambao walianza na wakaona pia...
   
 9. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  yalikukuta nn? Bt i like ur comment
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  hahaha.... No! Mie niliolewa na nilieanza nae... Uzuri wa kuolewa young.....
   
 11. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kama ndio 1st one and last 1, all the best
   
 12. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Mwanzo wa ubakaji huuu
   
 13. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Umeona eh!
   
 14. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Katika niliowahi kulala nao bikira alikua mke wangu tu!, nae nililala nae tukiwa tumefunga ndoa (nilidhamilia...), namwamini sana kuliko ninavyojiamini
   
 15. m

  majogajo JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  da hata mm napenda nmpate wa hvyo...........lkn sa hv anapatikana kweli?
   
 16. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #16
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Yes, i do agree with you. Hatuna culture ya kuwa na kuwa na relationship ndefu kum-prove mwenzio. Wengi wetu mkiridhiana na mnaona wakati ni muafaka, basi mipango inaanza. Of course 18 old kuendelea mpaka ample time for marriage, kwa jamii zetu ni ngumu sana. Sababu ni kama hizo na kadhalika. Kwa hiyo hii issue watu wana generalize sana, lakini especially ni kwa jamii zetu tu. Halafu sijuwi kwa nini issue ya virginity iko very genda. Hata wanaume huwa virgins before. Mwanamume au kijana akivuka foolish age with his virginity na akapata mwanamke. Hupagawa na kuwa totally blind and deaf (limbwata).
   
 17. v

  valid statement JF-Expert Member

  #17
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  bikira wengi ni under 18 kwa sasa. Kama unatembea nao unatafuta kufungwa mkuu. Mana unabaka.
  Ila ukibahatika bikira wako wa above 23, mnaweza mkaoana.
   
 18. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #18
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  hahahahaaa ndyoko bana!! Kubali tu hilo lishakupita lasivyo........utahusu SOSPA kweli!!
   
 19. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #19
  Nov 6, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,173
  Likes Received: 1,176
  Trophy Points: 280
  virginities are congenitaly missing nowadays! Mabinti weng ni vilema kwani hawazaliwi nazo!
   
 20. P

  Positive Thinker Senior Member

  #20
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hii jamaa umegeneralize sana wengine hadi leo tupo nao kwenye ndoa toka alivyotolewa usichana inategemea na commitment zako hata ka ukienda shule au wapi ukiwa umeweka ahadi u will keep it
   
Loading...