ni kweli kuwa wanawake hawapendi SERIOUS MEN?

ni kweli kuwa wanawake hawapendi SERIOUS MEN?

9mm

Senior Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
160
Reaction score
106
Habar wakuu!
Naomba kujuzwa je Kuwa serious sana kunaweza sababisha kukosa partner?kama uandishi wng mbovu mtanisamehe.
Naomba kuwasilisha,,,,
 
^^
Mkuu 9mm hawa viumbe hawana kanuni,,we kuwa tu kama ulivyo..ukiwa nje yako utajiumiza.
^^
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: 9mm
Yes kwa mie sipendi kabisa,,, usiriaz afanye kwenye kusaka hela na kazini akija kwangu alegeze kidogo......
kisa cha kushwindwa kuonyesha utundu wangu alionifundisha bibi!!!!!!!!!!
 
Teh teh kwi


Uzuri wa mtu hutoka kwa Mungu lakini
Utanashati ni sanii.
 
Mkuu,
Hawa viumbe wasikuzoee sana,serious stuffs jokes kwa mbali,tabasamu kizushi.
 
Mbona apa nimemgoogle Undertaker namuona yupo na wife wake?!
 
I like serious men!!But we have to be able to laugh together at some point!!
 
Mtoto wa kiume utajichekesha chekesha vp..lazima uwe kauzu, uso wa mbuzi..
 
Back
Top Bottom