Ni kweli kuwa hii miti inaua?

Ni kweli kuwa hii miti inaua?

Hajui chochoteee!!
Anajua Elimu ya kidhunguuuu na udhungu wao . Na Elimu ya kupata Cheti na ajira na kupokea mshahara na kujenga nyumba,kutafuta fundi Wa darasa la saba amjengee nyumba na Kununua gari afundishwe kuendesha na Dereva darasa la saba ,gari likiharibiki anamtaguta fundi Wa Darasa la saba. Akifa anazikwa na watu wasiosoma ,wasomi wenzake wanatafuta Tenda ya kuchapisha t-shirt na kupamba n.k. Akiingia kwenye biashara anakwama mana biashara imetawaliwa na Elimu ya kiroho. Akiingia Kwenye Siasa anakwama mana pametawaliwa na Elimu ya kiroho. Anasubiri teuzi baada ya akiapishwa akatemewe mate na wazee Wa kimila Tena.
Roho ndio inaongoza mwili thus chochote ufanyacho uanza na wazo ideas.
 
Hajui chochoteee!!
Anajua Elimu ya kidhunguuuu na udhungu wao . Na Elimu ya kupata Cheti na ajira na kupokea mshahara na kujenga nyumba,kutafuta fundi Wa darasa la saba amjengee nyumba na Kununua gari afundishwe kuendesha na Dereva darasa la saba ,gari likiharibiki anamtaguta fundi Wa Darasa la saba. Akifa anazikwa na watu wasiosoma ,wasomi wenzake wanatafuta Tenda ya kuchapisha t-shirt na kupamba n.k. Akiingia kwenye biashara anakwama mana biashara imetawaliwa na Elimu ya kiroho. Akiingia Kwenye Siasa anakwama mana pametawaliwa na Elimu ya kiroho. Anasubiri teuzi baada ya akiapishwa akatemewe mate na wazee Wa kimila Tena.
 
Waganga na manabii uwapiga watu pesa kwa sababu ya ukosefu wa maarifa,watu awajui kumuomba Mungu watu awajui kujifungua vifungo vya adui,nk
Mkuu,ikikupendeza uanzishe Uzi wake,kuhusu Maarifa haya.
 
Miti nchi nyingine ipo haina madhara na hakuna watu wanaokufa, Tanzania, inasemwa kuwa inaua na tuache tatizo la ubishi!
Lakini mkuu.. inawezekana hata nchi nyingine pia ina madhara.. coz sio hizo habari ni ndogo sana haziwe tangazwa kwenye redio.

Halafu hii miti inawezekana kweli ikawa na mambo kama hayo.. ndo mana hata dawa nyingi za kiganga ni za miti shamba.. so sijui kwanini watu wanataka kubisha
 
Naomba uthibitisho wa kisayansi
Thibitisha kisayansi kwamba kuna majini na uchawi..Wewe kutoweza kuthibitisha kisayansi uwepo wa hivyo vitu haifuti ukweli kuwa hivyo vitu vipo
 
Thibitisha kisayansi kwamba kuna majini na uchawi..Wewe kutoweza kuthibitisha kisayansi uwepo wa hivyo vitu haifuti ukweli kuwa hivyo vitu vipo
Hizo sayansi zenyewe ZINADHIBITIWA na Mashetani yanayoongoza ulimwengu.

Wao ndio wanaamua nini kiitwe sayansi au vinginevyo.
 
Huo uzalendo wa Hittler si angeufanyia ujerumani pekee na sio kwenda kuchokoza mataifa mengine.
Hao wote ni madikteta dikteta ufukarisha watu wake Ili awajengee hofu ya kuogopwa awatawale.
Maendeleo ni mchakato jumuishi wa Jamii nzima kuelekea ustawi mmoja.Wezi wa raslimali za umma wapo sababu ya sheria butu,mfano hapa nchini fisadi afungwi bali ulipa faini mbuzi isipokuwa kibaka ndo ufungwa sababu hana pesa ya kununua UHURU wake. Hitler alikuwa ni shetani katika mwili
aliyekuja kumwaga damu za watu wasio na hatia,
kwa kuwatoa kafara aliyeuvaa, Wayahudi walimkosea nini hadi awamalize.

Bila Hitler Taifa la Israel lingepotea.
Wayahudi walijisahau baada ya kupata mafanikio makubwa nchini ujerumani na kushika uchumi Wa ujerumani.
Waliamuni Kuwa wameshafika KWENYE nchi ya Ahadi.
Bila kichapi cha Hitler wasingerudi KWENYE nchi yao ya Ahadi. Kila jambo linaanza KWENYE Ulimwengu Wa kiroho
 
Nyumba yenye hio mti huwa na upweke,dhiki, migogoro na maradhi pia husababisha familia au watoto kutopapenda kwao woote hukimbia na hawakumbuki kurud 😂😂
 
Kwa vipi inaleta mikosi, balaa. Migogoro na mifarakano katika jamii?

Kwanini sio miti mingine ila hii?
 
Ujinga Sana umetawala katika jamii zetu Hadi Jf kumejaa mazuzu. Promax
 
Back
Top Bottom