Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,112
- 1,926
.Ingependeza ungetuwekea na picha ya huo mti
Ungemuuliza jina la hiyo miti maana miti yenye ngazi ipo aina nyingi sanaKuna mzee wa makamo tulisafiri nae kwenye basi.Kwenye ile kuangalia mazingira kando ya barabara akaona nyumba moja ina miti ile mirefu inayokuwa na matawi kama ngazi ngazi(siijui jina kwakweli
Huu ujinga utakuta ameuanzisha mswahili mmoja tu kwa ujinga wake, hii miti kiuhalisia asili yake sio afrika ilitoka ithink ni ulaya lakini cha ajabu sijawahi kusikia eti wazungu wanailalamikia eti inaleta mikosi, je nyumba zisizo na hii miti mikosi yao inatokana na nini na je maeneo ya jangwani ambako mimea ni nadra hakuna mikosi, hii miti kwetu tumeipanda ina miaka 13 sasaMkuu mambo hayo yapo....usidharau,matatizo mengine tunayapata kwa kupuuzia mwisho wa siku tunakimbilia kwa waganga nao wanatupiga. Infact Mila zipo,taboos zipo,tuishi kwa tahadhali.
Kuna mwamba humu jf husema "tatizo binadamu ni wabishi sana".Huu ujinga utakuta ameuanzisha mswahili mmoja tu kwa ujinga wake, hii miti kiuhalisia asili yake sio afrika ilitoka ithink ni ulaya lakini cha ajabu sijawahi kusikia eti wazungu wanailalamikia eti inaleta mikosi, je nyumba zisizo na hii miti mikosi yao inatokana na nini na je maeneo ya jangwani ambako mimea ni nadra hakuna mikosi, hii miti kwetu tumeipanda ina miaka 13 sasa
Waganga na manabii uwapiga watu pesa kwa sababu ya ukosefu wa maarifa,watu awajui kumuomba Mungu watu awajui kujifungua vifungo vya adui,nkMkuu mambo hayo yapo....usidharau,matatizo mengine tunayapata kwa kupuuzia mwisho wa siku tunakimbilia kwa waganga nao wanatupiga. Infact Mila zipo,taboos zipo,tuishi kwa tahadhali.
Ni uzushi wa asilimia mia moja.Ni kweli huo mti unaitwa mkungu
Thanks..mti wenyewe ndo huu