Ni kweli kuto kusex miaka mitano kunarudisha bikra kwa mwanamke aliyezaa?

Huenda ni bikra ya mwendo kasii mkuu. sasa utafanyaje ili hali ushayakanyaga mwenyewe?

umelengeshwa yupo anga za juu mwezini hakafu ukapigwa na kitu jizito sana. Lakini hadi umri huo bikra huijui kweli? Basi kama bado hujatoa kajaribu hata ya mbuzi utuletee mrejesho hapa kwa kutupa uwiano uluio sawa sawia na ya single maza tapeli
 
Huenda ni bikra ya mwendo kasii mkuu. sasa utafanyaje ili hali ushayakanyaga mwenyewe?

umelengeshwa yupo anga za juu mwezini hakafu ukapigwa na kitu jizito sana. Lakini hadi umri huo bikra huijui kweli? Basi kama bado hujatoa kajaribu hata ya mbuzi utuletee mrejesho hapa kwa kutupa uwiano uluio sawa sawia na ya single maza tapeli
Katika maisha yangu sijawahi kutana nayo ndicho kilichonivuruga ila iyo mwendo kasi nimeielwa
 
Wasalaam madaktari na wahenga...

Ninaandika uzi huu nikiwa na maswali mengi yakinichanganya akili.

Nina mchumba wangu ni single mother pia amenizidi hadi umri.

Kwanza ameokoka na katika uchumba wetu, aligoma tusifanye mapenzi kabla ya ndoa otherwise hatutafikia hatua ya malengo yetu, nilitika kishingoupande ila sikukubali kwakua wanawake wa mjini ni janja janja saana. Niliendelea kumchombeza mwishoe akajaa akahitaji tu sex.

Alinipa taadhari kwamba ni miaka mitatu hajafanya mapenzi hivo anahisi atakua kama bikra. Nilifurahi kusikia hivo.

Basi siku tunakutana sikuamini alijifanya kuhangaika na kuomba atandike kitenge chake ili asijechafua shuka la hotel, nilianza kuona vitu vya ajibu kama discharge zenye u kijani nikasema ngoja ni stop nijifute, kuja kufuta zikabadilika rangi na kua nyekundu mithili ya damu, kumcheki na yeye kwenye uke kuna damu? Kumuuliza anasema anashangaa hata yeye hajui pengine ni bikra ivo nimemtoa bikra upyaa.🙄🙄🙄

Akaniambia amekua akiskia maumivu nilipokua na muingilia kwakua ni mda mrefu, hata ivo amekua mtu wa maombi saana kiasi ya kwamba mtumishi wake alimwambia anaweza rudisha bikra yake atakama alisha zaa.

Kifupi damu zilitoka nyingi hadi kero lakini chaajabu sijaona ugumu katika kumwingilia, yaani nikama nilikua nafanya mapenzi na mwanamke mzoefu... nikabaki najiuliza je ni bikra fake (maana naskia zipo) au ni mgonjwa??

MADAKTAR mnisaidie sio mgonjwa kweli?? Na ka mgonjwa atakua anaumwa nn?? Na je hajaniambukiza?

Na nikweli bikra ya nyuzi inaweza kurudi ndani ya miezi mitatu?

Makungwi pia nisaidieni hapo?

kuhusu period hakua tarehe za period

natanguliza shukrani🙏
🤣🤣🤣 single mother alafu msifanye mapenzi hadi ndoa
Atakuwa kakuroga huyo
 
Back
Top Bottom