Suprise
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 2,696
- 1,062
Happy blu mandei wana jf
Jamani naomba niwaulize from experience niliyoishuhudia toka kwa ndugu na marafiki wanaunizunguka esp gals,
nilikua na marafiki zangu wawili wadada kwa vipindi tofauti wameolewa last year na wanaume ambao wamedumu nao katika mahusiano in less dan six month,hawa rafiki zangu walikua na mahusiano ya mda mrefu na boys zao ambao ni mashem wangu wa zamani, kiukweli walipendana sana hata sisi wa nje tuliliona hilo,mwaka jana mwanzoni mmoja akabrek up na mpenzi wake sababu inayoeleweka hakuna anadai mwanaume hasomeki hana dalili ya kuoa wakati mwenzie kamwambia amvumilie this year watafunga ndoa ,ma frend kaona anachelewa kila tukishauri anadai anataka aanzishe family yake, baada ya miez miwil after breaup kamtambulisha mshkaji from no wea wakafunga ndoa .
Mwishoni mwa mwaka jana the sem story kwa anaza frend of mine, ila huyu namsikitikia coz ameolewa bt stil anampenda her X bt mwenzie ndio hivyo ye alimpa miaka 2 Mbele asubirie wafunge ndoa ma frend akaona anaharaka kaolewa,
Sasa mwisho ni kwa my cousin naye ana boyfrend wake kwa miaka 3,now ananipigia simu kwa ushauri kila cku ana 27 her boyfrend is 30 anasema stil anajipanga so kuna husband material kajitokeza kwa presha anamuomba ampeleke home aanze mipango ya harusi ,inshort tyhe guy is serias na ma cousin anasema is abt to give him go ahead aolewe.
Hivi ni kweli kunakua na hizi inside pressure kwa wadada wanapofika umri flani maana me nnachokiona ni kuja kufanya uamuzi wa kuolewa na kumwacha umpendae,how do u c ?