Ni kweli kuna umri ukifika wadada wanakua na inside pressure ya kutaka kuolewa

Suprise

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
2,696
1,062
Happy blu mandei wana jf
Jamani naomba niwaulize from experience niliyoishuhudia toka kwa ndugu na marafiki wanaunizunguka esp gals,
nilikua na marafiki zangu wawili wadada kwa vipindi tofauti wameolewa last year na wanaume ambao wamedumu nao katika mahusiano in less dan six month,hawa rafiki zangu walikua na mahusiano ya mda mrefu na boys zao ambao ni mashem wangu wa zamani, kiukweli walipendana sana hata sisi wa nje tuliliona hilo,mwaka jana mwanzoni mmoja akabrek up na mpenzi wake sababu inayoeleweka hakuna anadai mwanaume hasomeki hana dalili ya kuoa wakati mwenzie kamwambia amvumilie this year watafunga ndoa ,ma frend kaona anachelewa kila tukishauri anadai anataka aanzishe family yake, baada ya miez miwil after breaup kamtambulisha mshkaji from no wea wakafunga ndoa .
Mwishoni mwa mwaka jana the sem story kwa anaza frend of mine, ila huyu namsikitikia coz ameolewa bt stil anampenda her X bt mwenzie ndio hivyo ye alimpa miaka 2 Mbele asubirie wafunge ndoa ma frend akaona anaharaka kaolewa,
Sasa mwisho ni kwa my cousin naye ana boyfrend wake kwa miaka 3,now ananipigia simu kwa ushauri kila cku ana 27 her boyfrend is 30 anasema stil anajipanga so kuna husband material kajitokeza kwa presha anamuomba ampeleke home aanze mipango ya harusi ,inshort tyhe guy is serias na ma cousin anasema is abt to give him go ahead aolewe.

Hivi ni kweli kunakua na hizi inside pressure kwa wadada wanapofika umri flani maana me nnachokiona ni kuja kufanya uamuzi wa kuolewa na kumwacha umpendae,how do u c ?
 
Ni kweli inatokea hasa kwa wale wanaopata maumivu makali sana wakati wa hedhi. Hii ni kwasababu solution ya ukweli ni wao kuzaa. Sasa kama kuna kauwezekano ka kuolewa wanakachangamkia ili kukwepa kuzaa nje ya ndoa! Thats the experiance I have!
 
yaah hiyo ipo kwa sababu inafikia kipindi unakua na wewe unatamani uwe na family yako uweze kujitegemea so hiyo inatokea hasa kuanzia age 24 huwa wanatamani sana

kwa hiyo unashauri inapotokea uolewe tu na mwingine uvumilivu wa kumsubiria ur BF ukikushinda
 
Siyo inside pressure bali ni outside preasure.
Ndugu, jamaa, marafiki na jamii kwa ujumla inatuweka katika wakati mgumu pale inapoonekana umri umesonga na hakuna dalili ya ndoa.

Na ndio hapo unajizolea hata chuma chakavu kwamba angalau tuoundoe mkosi
 
Happy blu mandei wana jf
Jamani naomba niwaulize from experience niliyoishuhudia toka kwa ndugu na marafiki wanaunizunguka esp gals,
nilikua na marafiki zangu wawili wadada kwa vipindi tofauti wameolewa last year na wanaume ambao wamedumu nao katika mahusiano in less dan six month,hawa rafiki zangu walikua na mahusiano ya mda mrefu na boys zao ambao ni mashem wangu wa zamani, kiukweli walipendana sana hata sisi wa nje tuliliona hilo,mwaka jana mwanzoni mmoja akabrek up na mpenzi wake sababu inayoeleweka hakuna anadai mwanaume hasomeki hana dalili ya kuoa wakati mwenzie kamwambia amvumilie this year watafunga ndoa ,ma frend kaona anachelewa kila tukishauri anadai anataka aanzishe family yake, baada ya miez miwil after breaup kamtambulisha mshkaji from no wea wakafunga ndoa .
Mwishoni mwa mwaka jana the sem story kwa anaza frend of mine, ila huyu namsikitikia coz ameolewa bt stil anampenda her X bt mwenzie ndio hivyo ye alimpa miaka 2 Mbele asubirie wafunge ndoa ma frend akaona anaharaka kaolewa,
Sasa mwisho ni kwa my cousin naye ana boyfrend wake kwa miaka 3,now ananipigia simu kwa ushauri kila cku ana 27 her boyfrend is 30 anasema stil anajipanga so kuna husband material kajitokeza kwa presha anamuomba ampeleke home aanze mipango ya harusi ,inshort tyhe guy is serias na ma cousin anasema is abt to give him go ahead aolewe.

Hivi ni kweli kunakua na hizi inside pressure kwa wadada wanapofika umri flani maana me nnachokiona ni kuja kufanya uamuzi wa kuolewa na kumwacha umpendae,how do u c ?

kawaida sana, nafikiri pointi kama nilishaisema ktk moja ya Komenti zangu, kifupi Mwanamke hahitaji kwenda zaidi ya 25 halafu hajaolewa na future haisomeki, muda ukifika anavuta yeyote yule anawekwa ndani.
 
Take it from my xperience with girls, ladies and women..age-wise
1- 14-18yrs- hawa ni headeache na vicheche na wanataka kuonjaonja na wengi hunasa mimba miaka hii
2- 19-24 yrs hawa hawafai hata kuwaambia kuwa wewe ni mchumba na unataka kumwoa, wanawazia starehe na sio kuolewa ingawa nao wanakuwa vicheche ila wako makini katika mimba zembe
25-27yrs- hawa wanapenda kutulia maana weshachoka na wanaamini waliyekuwa naye kwa wakati huo ndio mume mtarajiwa
28-32- hawa hata ukimtongoza anaweza kukukatalia maana keshachezea mi-broken heart na promise nyinge kadanganywa kwa hiyo hawa ukigusa anakuuliza kama unamchezea au unamwoa na lini...hawa hata mahari wanajilipia wenyewe.
32-40- hawa wanacgukuliwa na waume za watu na kama anauwezo anakamata serenget wake
 
huu ndo ukweli kabisa,mie siku izi na deal na age 24-30,wengi mpaka magheto kwao wananilazimisha niamie yaani kidume naudumiwa mapaka naona kero,tena sio mmoja ila kuna mmoja kaniahidi cresta nikubali ndoa mwakani mwezi wa tatu
 
mmh,Von mo utanifanya niingie sokoni sasa huo umri uliouweka duuh
 
huu ndo ukweli kabisa,mie siku izi na deal na age 24-30,wengi mpaka magheto kwao wananilazimisha niamie yaani kidume naudumiwa mapaka naona kero,tena sio mmoja ila kuna mmoja kaniahidi cresta nikubali ndoa mwakani mwezi wa tatu

chuma cha reli msitufanyie hivyo lol
 
wanawake wengi wanatamani kuolewa na mume mwenye mali, miradi, majumba nk.
Achaneni na ndoto hizo za alinacha, tafuta mume umpendae, mumtangulize Mungu kwenye mahusiano yenu, mali na vingine mtavipata mkiwa kwenye ndoa

bujibuji hukuelewa hapa ishu sio mume mwenye mali bali hao maboifrend ndio watata na kutaka kwao kujipanga kwani mpenzi wake anayemwambia waoane hajaona kama boy hana mali,....chelewa chelewa utakuta............................................
 
huu ndo ukweli kabisa,mie siku izi na deal na age 24-30,wengi mpaka magheto kwao wananilazimisha niamie yaani kidume naudumiwa mapaka naona kero,tena sio mmoja ila kuna mmoja kaniahidi cresta nikubali ndoa mwakani mwezi wa tatu

sasa hapo inakua unaoa au unaolewa??
 
Wanawake ni watu pekee ambao huwa wanaota bila kulala, kwa nini?
Mwanamke akishaanza kupevuka huwa karibia kila siku iendayo kwa Mungu huwa anaota siku moja aolewe, awe na watoto, awe na mume mzuri, maisha mazuri n.k n.k.
Sasa basi, hizo ndoto wanazojiotea hovyo hovyo ndio haswa sababu ya msukumo wa kutaka kufikia malengo without sweating...
 
wanawake wengi wanatamani kuolewa na mume mwenye mali, miradi, majumba nk.
Achaneni na ndoto hizo za alinacha, tafuta mume umpendae, mumtangulize mungu kwenye mahusiano yenu, mali na vingine mtavipata mkiwa kwenye ndoa

thats right...!!
 
Take it from my xperience with girls, ladies and women..age-wise
1- 14-18yrs- hawa ni headeache na vicheche na wanataka kuonjaonja na wengi hunasa mimba miaka hii
2- 19-24 yrs hawa hawafai hata kuwaambia kuwa wewe ni mchumba na unataka kumwoa, wanawazia starehe na sio kuolewa ingawa nao wanakuwa vicheche ila wako makini katika mimba zembe
25-27yrs- hawa wanapenda kutulia maana weshachoka na wanaamini waliyekuwa naye kwa wakati huo ndio mume mtarajiwa
28-32- hawa hata ukimtongoza anaweza kukukatalia maana keshachezea mi-broken heart na promise nyinge kadanganywa kwa hiyo hawa ukigusa anakuuliza kama unamchezea au unamwoa na lini...hawa hata mahari wanajilipia wenyewe.
32-40- hawa wanacgukuliwa na waume za watu na kama anauwezo anakamata serenget wake
Inafanana na ukweli (according to my experience)
 
Hapo kwenye red mkuu! Juzi juzi nikiwa navinjari facebook mara namuona binti/mwanamke ambaye umri wake upo kwenye hiyo range hapo juu tulisoma naye primary miaka hiyo nikam-suggest friendship basi tukawa tunachat kukumbushana ya miaka hiyo, katika maongezi tukaulizana merital status yaani kusema single basi nimefanya kosa aisee. Yeye yupo bongo mimi nabeba boksi kwa muda huku kwa watu lakini sms zinavyomiminika nikiwaza na gharama anazoingia mpaka namuonea huruma. Yaani maongezi yake yanaonyesha alivyo desperate kuhusu kuolewa, dada wa watu kajikakamua mpaka mwishowe kanipiga sound live na anachosema yupo tayari kwa ndoa hata kesho, tunatofautiana dini lakini anasema haina noma atafuata ya kwangu halafu kipindi tunasoma wala hatukuwa tunaiva kivilee ingawa hatukuwa na bifu la aina yoyote.

Sasa mkuu Who Cares? ulivyoandika yaani umenifumbua macho sana aisee, hivi sasa ukioa wa muundo huu kwenye ndoa wanatulia kweli au kwa sababu wameshatoa nuksi ya kuolewa wanarudia uhalisia wao?
 
Happy blu mandei wana jf
Jamani naomba niwaulize from experience niliyoishuhudia toka kwa ndugu na marafiki wanaunizunguka esp gals,
nilikua na marafiki zangu wawili wadada kwa vipindi tofauti wameolewa last year na wanaume ambao wamedumu nao katika mahusiano in less dan six month,hawa rafiki zangu walikua na mahusiano ya mda mrefu na boys zao ambao ni mashem wangu wa zamani, kiukweli walipendana sana hata sisi wa nje tuliliona hilo,mwaka jana mwanzoni mmoja akabrek up na mpenzi wake sababu inayoeleweka hakuna anadai mwanaume hasomeki hana dalili ya kuoa wakati mwenzie kamwambia amvumilie this year watafunga ndoa ,ma frend kaona anachelewa kila tukishauri anadai anataka aanzishe family yake, baada ya miez miwil after breaup kamtambulisha mshkaji from no wea wakafunga ndoa .
Mwishoni mwa mwaka jana the sem story kwa anaza frend of mine, ila huyu namsikitikia coz ameolewa bt stil anampenda her X bt mwenzie ndio hivyo ye alimpa miaka 2 Mbele asubirie wafunge ndoa ma frend akaona anaharaka kaolewa,
Sasa mwisho ni kwa my cousin naye ana boyfrend wake kwa miaka 3,now ananipigia simu kwa ushauri kila cku ana 27 her boyfrend is 30 anasema stil anajipanga so kuna husband material kajitokeza kwa presha anamuomba ampeleke home aanze mipango ya harusi ,inshort tyhe guy is serias na ma cousin anasema is abt to give him go ahead aolewe.

Hivi ni kweli kunakua na hizi inside pressure kwa wadada wanapofika umri flani maana me nnachokiona ni kuja kufanya uamuzi wa kuolewa na kumwacha umpendae,how do u c ?

kisaikolojia kuna umri unafika kijana anajikuta anaanzisha hali ya kumpenda mtu mwingine ila mapenzi hayo huwa ni tofauti na ndugu au wazaz wake,so kwa hao akina dada ni wakat wao,maana wakivuka more than 30 watachina,issue hapo ni kutokurupuka
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom