Ni Kweli Kagame Anaumwa "Bipolar Disorder"?

Ni Kweli Kagame Anaumwa "Bipolar Disorder"?

sasa ninyi ...hivi na wao wakianza kutaja magojwa yenu/yetu na viongzi wetu...jukwaa litakalika ? Ebu leta hoja za maana.

Tunataka kutoelewana kwa kagame na jk kuishe kwa mazungumzo. Mshawishini jk azungumze na jirani yake.

kwa meza ipi wakati ushauri ni kuukata na unasonga mbele anayetakiwa kukaa meza moja ni pk na fdlr
 
Ila huyu jamaa ni mgonjwa, nimeangalia clip alivyokua anamtishia JK nimebaki naduwaa. nimeangalia clip nyingine anawatishia wanyarwanda utadhani anatiahia pepo wachafu...
 
Ila huyu jamaa ni mgonjwa, nimeangalia clip alivyokua anamtishia JK nimebaki naduwaa. nimeangalia clip nyingine anawatishia wanyarwanda utadhani anatiahia pepo wachafu...
Embu tuma hapa tuitazame!
 
Sishangai ukisoma history most world geniuses great men na inverters walikuwa na bipolar to name few maraisi wawili wa USA Lincoln na Churchill ,Author maarufu aliyeheshika duniani Charles Dickens, Actor Van damme Mgunduzi maarufu wa mwendo Sir Isaac Newton nk in short most of successful men in world has some elements of psychiatric disorder! mpaka sasa scientists wanajaribu kujua hilo tatizo limechangia kukuza uwezo wao au uwezo wao umechangia wao kupata tatizo hilo.
 
Sishangai ukisoma history most world geniuses great men na inverters walikuwa na bipolar to name few maraisi wawili wa USA Lincoln na Churchill ,Author maarufu aliyeheshika duniani Charles Dickens, Actor Van damme Mgunduzi maarufu wa mwendo Sir Isaac Newton nk in short most of successful men in world has some elements of psychiatric disorder! mpaka sasa scientists wanajaribu kujua hilo tatizo limechangia kukuza uwezo wao au uwezo wao umechangia wao kupata tatizo hilo.

Mkuu, Lincoln na Churchill kweli hata sura zao zilikuwa zinaonyesha vile, kwa wengine sina uhakika - mbona watu genius kama Nikolai Tesla, Edison, Albert Einstein na Josef Stalin hawakuwa na tatizi hilo.
 
Kwa hiyo anasononeka au nimeelewa vibaya? kuna kitu kinaitwa psychopath sijui kama kinaendana na alicholeta mtoa mada hapa?

Mkuu jamaa anazungumzia masuala ya depression ambayo unaweza kui-term kama maniac depression kama sikosie ni ugonjwa wa akili wa kiaina, mtu anaweza kuonekana kasonononeka sana au kukasirika ovyo ovyo bila sababu na wakati mwingine kubwabwaja maneno yasiyo kuwa na kichwa wala miguu, phase hiyo ikipita anaingia phase ya kufurahi kuelewana na kila mtu na kuwa mstaarabu phase hizo zina alternate wiki fulani yuko in good mood wiki nyingine yuko kama mbogo na mara nyingi huwa awajitambui kama wapo kwenye sonono au la mpaka mtu wa karibu nae amshitue, neno Bipolar linamaanishi mtu huyo huyo anakuwa na split personality wiki hii yuko hivi wiki inayo fuata yuko tofauti kabisa! Binadamu wote ukumbwa na tatizo la sonono some of the time for a good reason lakini wenzetu hawa wana sonono almost all the time.

Wanasayansi/madaktari waligunduwa kwamba mara nyingi phases hizi uambatana na miandamo ya mwezi (ndio maana kundi hili wanasena wana element za U Lunacy) au u- psychopath unao ambatana na phases za mwezi, kama nakumbuka vizuri nasuala ya saikolojia.
 
Irrational opinion from an irrational source suffering from acute bipolar disorder!
 
Mkuu jamaa anazungumzia masuala ya depression ambayo unaweza kui-term kama maniac depression kama sikosie ni ugonjwa wa akili wa kiaina, mtu anaweza kuonekana kasonononeka sana au kukasirika ovyo ovyo bila sababu na wakati mwingine kubwabwaja maneno yasiyo kuwa na kichwa wala miguu, phase hiyo ikipita anaingia phase ya kufurahi kuelewana na kila mtu na kuwa mstaarabu phase hizo zina alternate wiki fulani yuko in good mood wiki nyingine yuko kama mbogo na mara nyingi huwa awajitambui kama wapo kwenye sonono au la mpaka mtu wa karibu nae amshitue, neno Bipolar linamaanishi mtu huyo huyo anakuwa na split personality wiki hii yuko hivi wiki inayo fuata yuko tofauti kabisa!

Wanasayansi/madaktari waligunduwa kwamba mara nyingi phases hizi uambatana na miandamo ya mwezi (ndio maana kundi hili wanasena wana element za U Lunacy) au u- psychopath unao ambatana na phases za mwezi kama sikosei.
Kwetu tunawaita "mwezi mchanga " ni ukichaa kulingana na miandamo ya mwezi, kiafrikaafrika huwa wanapewa madawa kila ukaribiapo mwezi kuandama.
 
Mkuu jamaa anazungumzia masuala ya depression ambayo unaweza kui-term kama maniac depression kama sikosie ni ugonjwa wa akili wa kiaina, mtu anaweza kuonekana kasonononeka sana au kukasirika ovyo ovyo bila sababu na wakati mwingine kubwabwaja maneno yasiyo kuwa na kichwa wala miguu, phase hiyo ikipita anaingia phase ya kufurahi kuelewana na kila mtu na kuwa mstaarabu phase hizo zina alternate wiki fulani yuko in good mood wiki nyingine yuko kama mbogo na mara nyingi huwa awajitambui kama wapo kwenye sonono au la mpaka mtu wa karibu nae amshitue, neno Bipolar linamaanishi mtu huyo huyo anakuwa na split personality wiki hii yuko hivi wiki inayo fuata yuko tofauti kabisa!.

Kama ndiyo hivyo, basis serikali yetu au viongozi wa hiyo serikali wote watakua wanaugua hii kitu kasoro Mecki Sadiki na Waziri mwalimu
 
Back
Top Bottom