Hivi hiyo kitu wanaomba kwa mungu wao au wanaroga?!
Kuna mungu atakayejibu maombi mabaya dhidi ya mtu anayewatetea wanaoonewa na kudhulumiwa?! Yaani kuna mungu anayewaona wauaji na watekaji kuwa wako sawa?! Mbona ni kama kuna dini ya dhuluma na mauaji inaanzishwa?!