Ni kweli kabisa Luhaga Mpina ni Mbunge wa taifa

Ni kweli kabisa Luhaga Mpina ni Mbunge wa taifa

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Nakubaliana na maneno ya Luhaga Mpina kuwa yeye ni mbunge wa taifa.

Angalia anavyopambana kwa ajili ya kupigania maslahi ya umma na taifa kwa ujumla.

Angalia alivyopambana juu ya zao la pamba kwa manufaa ya watu wa jimbo lake.

Hii ni wazi kuwa ni mbunge wa taifa na jimbo lake kwa ujumla.

image_search_1750688438366.jpg
 
Back
Top Bottom