Ni kweli kabisa imetokea kule buguruni

Ni kweli kabisa imetokea kule buguruni

WAKABAMBEE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
605
Reaction score
275

Majuzi juzi tu , vijana wawili nyakati za saa za jioni walienda kule Buguruni wakitokea Tandika kwenda kujichuja kwa wale wa mia tano tano. Baada ya kufika , kijana wa kwanza akanza paredi ya kukagua room moja hadi nyingi mpaka alipofika chumba cha mwisho.

Akiwa karibu na mlango aliona msichana kajilaza chali na nyonyo zake ni saa sita juu ya alama. hii ikamshawishi kujitoma ndani kwa spidi ya ndege za kivita.Mwenye chumba naye akamka haraka kuja kugunga mlango maana ndege kaingia tunduni.
Ghafla wote wakapigwa na butwaa bila kusemeshana lolote kwa muda kidogo, mara yule mkaka akanza hivi.

Mwanaume

Dada vipi, mbona uko huku

Mwanamke
Kaka nimekuja mara moja kumsalimia rafiki yangu mara moja, je na wewe unatafuta nini tena huku?
Mwanaume
Aaah, kwaheri dada.
swali kwnu wote;
Je, ingekuwa wewe, ungefanya nini kabla ya kuondoka eneo la tukio, maana kwanza siyo mzaliwa wa tumbo moja halafu sitimu ya kuchovya imeshakuingia toka kule utokako na umekuta ni saa sita unayoitaka!!!!!!!!!!.
KARIBUNI WOTE
 
Vipi unatafuta marafiki jf ....wa facebook hawakutoshi
 
Mbona hueleweki, umesema ni dada yako kabisa, parandesi ya mwisho unasema tena kama si dada yako ungefanyaje?

Unataka tukujibu nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom