Ni kweli Iringa wanakula mbwa?

Ni kweli Iringa wanakula mbwa?

Ningependa kujua kama kweli iringa wanakula mbwa maana naskia , iringa nyama bei rahisi kg 1 ya nyama ni elfu 2

Watu wa Iringa nipeni majibu.
Wanakula. Nimeishi huko. Mpigie huyo jamaa mwambie una mbwa anakuja kuchukua.

Yupo kitongoji cha Iwindi kata ya Ihimbo Wilaya ya Kilolo. Mcheki kwa namba hiyo 0652242163
 
Back
Top Bottom