Ata mimi nilitaka kusema hivyo hivyo tu basi!!!Ngoja niandae safari ya sauzi nikabebe toto la kitasha nije niwakoge mtaani afu tufungue na kampuni ya kwenye briefcase tupige easy money!
Maisha mepesi tu!
ni kweli mkuu, huu mtaa unaitwa bethlehemu wanaishi wazungu wahindi na machotara waliopigika, mitaa wa weusi ndo usiseme, South Africa ya Gen. Pretorious haipo tena iliyopo ni ya akina zuma uswahili mtupu.Mbona kama movie??
angalia wasijegawana suruali na shati, mitaa hii ukionekana na rand kumi inatosha kukutoa rohoAhahahaaha!! Kwa gia nitakayotinga nayo watakubali tu wenyewe....! Dhiki ni mwanaharamu hawana ujanja teena kwa pigo hilo la umaskini.
matter of fact bado nina kamkopo kangu ka saccos.!
Nisaidieni wanaishi mji gani pale South, nifanye kabisa booking ya fastjet mapeeema.
Crack and broke white gals in SA here I come.
Kwa kuongezea hao wanaowaita warangirangi nafikiri wanamaanisha colored people ambao ni mix au wenye asili ya Asia.Ngoja nami nielewe vizuri, huko afrika kusini hao watu weupe hamuwaiti wazungu! pamoja na kwamba wanaitwa white south Africans tangu enzi hizo na kipindi cha apartheid...na pia Babu zao wametokea ulaya, especially uholanzi miaka ya 1600...
basi mie ninachojua mzungu ni white person of caucasian origin....yani European origin...Afrikaans ni Wa dutch yani Caucasian.....Au? hebu tueleweshe mkuu
na pia labda nisichanganye mambo, kuna vitu viwili tofauti hapa, Africans ni blacks, halafu kuna Afrikaans ambao ni makaburu wenye asili ya Uholanzi
Kwani mzungu ni nani?KWANZA REKEBISHA TAMKO LAKO, HAO SI WAZUNGU! NI MAKABURU!, WANAISHI MAKAZI MAALUM YANAITWA MPUMALANGA SA. NI MAHALA PENYE MAISHA YA CHINI MNO! KUTANA NA KABURU YYT BONGO AU KWINGINEKO THEN MUULIZE HIVI, ARE YOU FROM MPUMALANGA! UONE SHUGHULI YAKE! NI SAWA NA KUMWAMBIA MCHAGA KUWA ANATOKEA KISHIMUNDU!!!
Hii inaendana na uzi kweli? Anyway potezeaHata marekani taifa kubwa wapo homeless,tena wengine wana degree zao.
Huwa nashangaaga kutwa mnamlaumu jk eti kawatiwa umasikini,wakati sikuhizi hata mishenitown anamiliki kibabywalker na wakati miaka 15 iliyopita hakuwa na uwezo hata wa kununua baiskeli ya phonex
Define colored mtu wanguP
Picha number 3, 7, 8 Ni coloured...the rest Ni Wazungu pure,, iwe kaburu Ni mzungu, but coloured Si. kaburu.
South kote huko, nenda Kilosa ukajinyakulie mtoto wa kihindiNgoja niandae safari ya sauzi nikabebe toto la kitasha nije niwakoge mtaani afu tufungue na kampuni ya kwenye briefcase tupige easy money!
Maisha mepesi tu!
South kote huko, nenda Kilosa ukajinyakulie mtoto wa kihindi
Haya mkuu. wakilishaMhh! Makubwa haya jama! Huko labda watoto wa kimasai ndo najua bwerere, ila bahati mbaaya siendani saana na wahindi maana ni wabaguzi toleo la kwanza kwa wamatumbi (weusi).
Safari yangu ya kwenda kwa mzee Madiba ipo pale pale....mazungu yamezagaa tu kule kila kona ni randi zako tu nang'oa tasha nakuja kuwakoga waswahili punde naanzisha na kakampuni uchwara ka kwenye briefcase then unapiga pesa murua na nyepesi.
Wazo la kwenda kwa mzee Madiba lipo pale pale Kilosa na Dumila aende Pawasa.
Yeah umenena vyema mkuu... Wazungu huwa wanapenda kutupotray sisi waafrica like diggers flani hivi amaizing! but kumbe kwao pia mambo ni ovyoooo....let say kama US niliona clip moja aliionesha yule Mange Kimambi IG duuh nilichoka, wazungu wanalala mitaroni na barabarani still wanadepend food coupons from donors...si bora yao hata hapo south ni masikini lakini wanamiliki vijumba!...poverty is all over the world bana wazungu wasitutishe...Yah ni kweli mkuu, ni kwamba inaeleweka umasikini upo all over the world kwenye some community sections, na mbaya zaidi sehemu ambazo rasilimali zote za kuzalisha zimeshamilikishwa.
binafsi nimezoea kuona katika vyombo vya west waki potray nchi za africa tulivyo wachovu, magonjwa, vita, naamini ukitazama archives kuhusu tanzania, image zilizo popular ni picha za watu hoi sana, vinyumba vya udongo, albino etc....hakuna zinazoonyesha maeneo nadhifu kwakweli. Pia ujue watu wengi bongo hawaamini kuwa watu weupe nao wanahali ngumu, wezi, ma gangsta, machangu, ombaomba. etc...
Ishu nikwamba hata wao wanaathirika na utendaji mbovu wa wanasiasa.....hata kwao rushwa, wizi, uzembe mikataba ya kijanja vinawaathiri, na matokeo ndio hayo..
Kwahiyo naamini ni vema ku-encourage viongozi wanaopigania haki za wote, social justice....ASANTE DR MAGUFULI kwa kazi nzuri.