Ni kweli hatuna uelewa mpaka watusanue?

Ni kweli hatuna uelewa mpaka watusanue?

Home tutor Dar

Senior Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
114
Reaction score
139
I hope uko poa mdau wa jamiiforms,Baadhi ya Viongozi waliobalikiwa akili nyingi za kiutambuzi wamekua wakitusanua sana sisi watanzania juu ya mambo mbalimbali .

Mfano ukifuatilia ziara za Viongozi wanatoa kauli kama "Amka Kuna watu wanalionea wivu Taifa letu sababu ya utajiri " "Watanzania tusiwe wajinga kulichoma Taifa letu wenyewe " "Hii ni vita ya kiuchumi"Tunadanganywa tushutuke"Wamtukosa kote Sasa wameingia kwenye udini tukisikubali " Hizi ni baadhi ya kauli za Viongozi wakituamsha usingizini.


Nauliza swali watanzania licha ya wengi wetu kwa Sasa kupata elimu bado tunashindwa kushutukia hujuma kwa nchi yetu mpk tusanuliwe?
 
Hakuna hujuma yoyote.

Ni propaganda uchwara za CCM katika muendelezo wa kuwatawala watanzania kinguvu.

Watanzania wengi kwa sasa wana uelewa kuhusu siasa za nchi yetu na dunia kwa ujumla wakati wana CCM wengi wana mawzazo na akili za kizamani wakidhani wanaweza kuendelea kumtawala mtanzania milele kwa cheap propaganda za mabeberu na watu kutoka nje.

Yani unazuia uchaguzi huru na wa haki halafu unasema kuna mtu kutoka nje anatutakia mabaya kama sio upumbavu ni nini?
 
Back
Top Bottom