Ni kweli hatujui?


Wasi wasi wangu isije mkaudhiana mkaanxa kuanikana, haya mambo ni vema yakaishia huko huko
 
Hujui kuna kufake wewe?

Subiria ukija na majonzi hapa .....!!
 
imaney fanya utani na jamii hii. Utamuacha mtu wako kwa kivuli cha mtu.
Kuna watu kazi yao ni kubanjua na kutupa kule. Hili ni chaka..shaurilo...!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha mkuu mie nawabananisha bana,hivi kwa nini wanaume wanaume wanaweza kuchepuka miaka kadhaa na usimjue kamwe,ila wanawake hatuwezi...nafsi itakusuta tu,au wenzetu waliumbwa tofauti?!

Ndio tuliumbwa tofauti sana na
Ndio maana baadhi ya dini zinaruhusu mtu kuoa wanawake nne.
Ila hakuna inayoruhusu mwanamke kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja😉
 
Nawe ulikuwa unakula makombo, duh una roho ngumu sana.
a
i was young and stupid .......but nilikuwa simuelew yule mama....yaani alikuwa ananihudumia mpaka nauli ya kwenda Tambaza...misos na kila kitu so it was good for me by the time.
nakumbuka birthday ya mwanae al
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…