Ni kweli hatujui?

Hahaha mkuu mie nawabananisha bana,hivi kwa nini wanaume wanaume wanaweza kuchepuka miaka kadhaa na usimjue kamwe,ila wanawake hatuwezi...nafsi itakusuta tu,au wenzetu waliumbwa tofauti?!

What are you talking about?

Kuna wanawake mabingwa wa ku cheat na wamekubuhu!Kwa siku anaweza akawapanga wanaume hadi 5 na hamna wa kushtukia!

Wewe bado ni kinda ukiwa mzoefu utawapanga sana
 
Lugha ya mkoloni ni shidaa, dah!

Hii kweli ni shida,stupid mistake

Isomeke kama "What are you talking about?" au hata "What do you talk about" na sio kama hapo juu!

Thx you mate!
 
What do you talking about?

Kuna wanawake mabingwa wa ku cheat na wamekubuhu!Kwa siku anaweza akawapanga wanaume hadi 5 na hamna wa kushtukia!

Wewe bado ni kinda ukiwa mzoefu utawapanga sana

Sawa mkuu,siku nyingine ni what "are"you talking about?na sio what "do"you talkin about?,otherwise you are right,sote wanaume na wanawake ni mule mule tunacheat,ila nyie wenzetu mmezidi mnajenga hadi nyumba na kuwanunulia magari michepuko,its rare sisi kufanya hivyo......
 

Isha rekebishwa hiyo!Tujikite kwenye mada sasa
 
Hii kweli ni shida,stupid mistake

Isomeke kama "What are you talking about?" au hata "What do you talk about" na sio kama hapo juu!

Thx you mate!

Safi, sasa tunaenda sawa. Ukakasi masikioni umetoweka. Pamoja sana
 
Kuna ukweli hapa, Wanaume wanaoweza kufill these gaps hongera zao. Je mkuu imaney hata akiwa anakupa Compliments na kukujali dont you get used to it na kutamani fleva/swaga nyingine?

Yes mkuu kitu chochote kikiwa routine kinaboa,anatakiwa kuwa creative/adventrous....wanawake tukijaliwa inatosha ila hii hali ya kujali inabadilika with time ,hakuna anayependa kwenda nje ni mabadiliko ndani ya ndoa zao ndio huforce them to.....
 
Last edited by a moderator:
Red flag tunaziona ila tunachoose kuignore kisa usivuruge mapenzi kumbe unaitesa roho yako bure.
nilisha ignore sana hizo tabisa ila sasa basi nikiona kitu sijapenda namwambia hapohapo am not blind no more

Kukaa kimya unaweza kufa kwa kihoro,asante mkuu umesomeka....
 
Nawe ulikuwa unakula makombo, duh una roho ngumu sana.
a

Wanaume vitombi utawajua tu!huyu hawezi kuja kuishi maisha safi ya ndoa,atakuwa anaishi kwa hofu ya kuibiwa na hataacha tabia ya kuwa na michepuko since he has low opinion of women....
 
Trust me mleta mada ni dume.....don't ask me why! Happy Sabath day
 
Toa hofu mie ni kibibi,sioni sababu yu kuigiza jinsia tofauti...m

Unajua Hua tuna namna nyingi za kumtongoza mtu, hii nayo ilikuwa namna ya kujua reaction ya mpenzi mtarajiwa wa mtu! Huwa ana react vipi kwenye issues kama hizo especially when anapoulizwa silly question. Kwa hali hii naahidi kukutongoza rasmi, jiandae kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…