Ndivyo inavyoelekea...baada ya miaka kadhaa ya ndoa....kunakuwa hakuna tena exciment....hata sie wanawake hufeel hivyo....ukimpata mtu ni rahisi kukuchanganya!
......ndio maana wanasema ni rahisi kugonga wake za watu,simply wanakuwa wamezichoka ndoa zao....
Hahahahaa umenichekesha sana mkuu....btw mtoa mada be careful....u can loose a diamond while u are too bize collecting stones
hv hayo maneno matamu huwa yana ladha gani?
Ndo maana nakupenda. Mzima lakini?
Ndivyo inavyoelekea...baada ya miaka kadhaa ya ndoa....kunakuwa hakuna tena exciment....hata sie wanawake hufeel hivyo....ukimpata mtu ni rahisi kukuchanganya!
......ndio maana wanasema ni rahisi kugonga wake za watu,simply wanakuwa wamezichoka ndoa zao....
Mi mzima switie...miss u
Mimi ndo zaidi. Natamani ile siku ifike nikutumie ticket. Uzalendo unaelekea kunishida. Love you so much baby.
Mimi ndo zaidi. Natamani ile siku ifike nikutumie ticket. Uzalendo unaelekea kunishida. Love you so much baby.
Brazaako hayupo bwana tuendelee tu na mipango yetu...yupo mpirani
Akirudi na mihasira yake, mi nitajificha wapi? Ujue mwenzio bado mpya, ndo kwanza nayasnza maisha. Nahofia uso wangu.
Hahaha mkuu mie nawabananisha bana,hivi kwa nini wanaume wanaume wanaweza kuchepuka miaka kadhaa na usimjue kamwe,ila wanawake hatuwezi...nafsi itakusuta tu,au wenzetu waliumbwa tofauti?!
Aiseeee
Red flag tunaziona ila tunachoose kuignore kisa usivuruge mapenzi kumbe unaitesa roho yako bure.....juzi kati nimeanza kuchati na mwanaume huku JF,ana maneno matamu naye amesema amevutiwa na posti zangu!kwa kweli tukichati ananipa furaha mpk najuitia kuwa na huyu!....am soo carried away!...mpk juzi huyu wangu kaniuliza"baby mbona uko sana busy na simu"???swali langu ni hili wanaJF,wenzetu wakianza kuchepuka huwa hatujui kabisa?,au often tunaignore "warning signs"????...karibu
Hahahahaa umenichekesha sana mkuu....btw mtoa mada be careful....u can loose a diamond while u are too bize collecting stones
Sio kweli wanawake ndio wanaweza kuchepuka bila kujulikana tena kwenye nyumba za kupanga.
Nakumbuka 2003 nilivokuwa Advance nilipanga geto maeneo flani....nilikuwa nakula sana mke wa mpangaji mwenzangu, 11 alfajil akitoka Mme..mke anaamia kwangu for 3 yrs nlikuwa najilia bila kujulikana.