Ni kweli hatujui?

imaney

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,014
Reaction score
317
Juzi kati nimeanza kuchati na mwanaume huku Jamiiforums ana maneno matamu naye amesema amevutiwa na posti zangu.

Kwa kweli tukichati ananipa furaha mpaka najutia kuwa na huyu.

I am soo carried away, mpaka juzi huyu wangu kaniuliza"baby mbona uko sana busy na simu?

Swali langu ni hili wanaJamiiforums, wenzetu wakianza kuchepuka huwa hatujui kabisa? au often tunaignore "warning signs.

Karibu
 
Hahahahahhahahahahah....Nashukuru kwa kuwa muwazi na hapo ni mwanzo tu....nakuhakikishia ntakupa raha hadi utamwacha kabisa...haya turud kule tuendelee kuchat na usije uka-copy na kupaste hapa hadharan vitu tunavyochat...Twende ndan sasa.Na kama kuna mwingine anataka maneno matamu ani-inbox tu...hahahahhahahahha woh kwel umenifurahisha.
 

Hahahahaa umenichekesha sana mkuu....btw mtoa mada be careful....u can loose a diamond while u are too bize collecting stones
 
He makubwa mhhh mi naogopa kumbeee kunaviwembe hapa haya nendeni mkachepuke
 
Hahahahaa umenichekesha sana mkuu....btw mtoa mada be careful....u can loose a diamond while u are too bize collecting stones

Hahaha mkuu mie nawabananisha bana,hivi kwa nini wanaume wanaume wanaweza kuchepuka miaka kadhaa na usimjue kamwe,ila wanawake hatuwezi...nafsi itakusuta tu,au wenzetu waliumbwa tofauti?!
 
nicknames za JF huwa zinanichanganya sana, sometimes they make me puzzled kujua huyu ni mwanamke au huyu ni mwanaume. :loco:
 
kwa hili wanaume wanatakiwa kujifunza hapa wht women likes sio lazima uwe na mabilioni, it shows some1 cares
 

Mkuu unataka PM nimekushtukia....hahah
 
The journey to Marriage nowadays is like the journey Egyptians travelled to Canaan, easy to sketch hard to reach!!!!
 

uwiiii kuna vituko huku daaa
 
Hahaha mkuu mie nawabananisha bana,hivi kwa nini wanaume wanaume wanaweza kuchepuka miaka kadhaa na usimjue kamwe,ila wanawake hatuwezi...nafsi itakusuta tu,au wenzetu waliumbwa tofauti?!

mkuu unampango wa kuchepuka
 
mkuu unampango wa kuchepuka

Ndivyo inavyoelekea...baada ya miaka kadhaa ya ndoa....kunakuwa hakuna tena exciment....hata sie wanawake hufeel hivyo....ukimpata mtu ni rahisi kukuchanganya!
......ndio maana wanasema ni rahisi kugonga wake za watu,simply wanakuwa wamezichoka ndoa zao....
 
hv hayo maneno matamu huwa yana ladha gani?

Utakuwa single tu wewe...ukimpats mtu mkawa na right chemistry....utayajua tu!....maneno,unajionaje na hali ?siku yako ilikwendaje? Usiku mwema mume wangu.....😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…