Ni kweli Engineers and Technian wa Halotel wanapewa hela kidogo?

Ni kweli Engineers and Technian wa Halotel wanapewa hela kidogo?

Milion moja take home nayo ni hela?

Ukija kwenye makampuni ya ulaya na marekani hiyo milion moja take home anapokea mlinzi au mfagizi.
Nimesema kwa upande wa wahindi kwn ndipo wanapowalipa waafrika pesa ndogo kama ilivozoeleka..
 
Back
Top Bottom