Hayo maeneo machache ndiyo asilimia moja?wakati hata mwezi haujaisha toka wabongo wafanyiziwe
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Jpm na jkabila wote waongo waongo tu ila wakumbuke Mungu hadhihakiwi.!
Kwenda kule magu anachokitaka ni maendeleo mambo ya ndani ya DRC yahamuhusuJpm na jkabila wote waongo waongo tu ila wakumbuke Mungu hadhihakiwi.!
Kaa chonjo mdogo wangu watu wametumwa si bure. Unajua kilichofanyika SA kitafanyika hapa soon. Nafatilia hapa hatulali kuna dalili siyo nzuri tokana na majibu yanayotoka ukoingea ingabire yupo lupango wanakuja juu. Stay safe my young one.Nchi hiyo kubwa Africa ambayo hali ni tete hasa baada ya Rais Kabila kuamua kuahirisha uchaguzi mpaka 2018 kwa sababu za kiusalama, jana kwenye sherehe za kuweka jiwe la msingi kwenye jengo la mamlaka ya bandari/mapato , tukaambiwa eti usalama ni asilimia 99 kasoro maeneo machache pembezoni mwa nchi
Mwishoni mwa wiki iliyopita hali ilizidi kuwa mbaya huku wanaompinga Kabila wakizidi kuongezeka na hali ya usalama ikizidi kudorora
Kwa mshangao wa wengi Tanzania ikamwalika rais wake kuja kwenye sherehe tajwa hapo juu
Ninini kinaendelea hapa? Ni ishara gani tunapewa kwa siasa za Tanzania hapo mbeleni?
Thanks lovely sister! Noted with appreciationsKaa chonjo mdogo wangu watu wametumwa si bure. Unajua kilichofanyika SA kitafanyika hapa soon. Nafatilia hapa hatulali kuna dalili siyo nzuri tokana na majibu yanayotoka ukoingea ingabire yupo lupango wanakuja juu. Stay safe my young one.
.... ila siasa za Africa bhana daa ni bonge la kizungulumkuti yani maana..watu wankufa unasma salama 99pcnt...hv watu zaid ya 200 wnkufa unasma slama hta kma ingkuwa kijiji kimja tu so salma kabisa yniNchi hiyo kubwa Africa ambayo hali ni tete hasa baada ya Rais Kabila kuamua kuahirisha uchaguzi mpaka 2018 kwa sababu za kiusalama, jana kwenye sherehe za kuweka jiwe la msingi kwenye jengo la mamlaka ya bandari/mapato , tukaambiwa eti usalama ni asilimia 99 kasoro maeneo machache pembezoni mwa nchi
Mwishoni mwa wiki iliyopita hali ilizidi kuwa mbaya huku wanaompinga Kabila wakizidi kuongezeka na hali ya usalama ikizidi kudorora
Kwa mshangao wa wengi Tanzania ikamwalika rais wake kuja kwenye sherehe tajwa hapo juu
Ninini kinaendelea hapa? Ni ishara gani tunapewa kwa siasa za Tanzania hapo mbeleni?
Unafiki na mbinu za kihaini zimedevelop sana duniani si ajabu unaesema ni rafiki yako akakumaliza. Kikubwa tufanye biashara ila usalama uwepo tuu swala la amani ni ngumu kwa mama awatu wanabadilika siku hadi sikuBila amani itawezekana kweli?
Nahofia muingiliano wa kibiashara na hawa jamaa usije kutuletea na mengine tutakayoshindwa kuyabeba. ..kumbuka kila mchuma janga....!!!Unafiki na mbinu za kihaini zimedevelop sana duniani si ajabu unaesema ni rafiki yako akakumaliza. Kikubwa tufanye biashara ila usalama uwepo tuu swala la amani ni ngumu kwa mama awatu wanabadilika siku hadi siku
Mambo kama haya hakunaga kuaminiana, ni kufanya mambo kinafiki tuu na kuuongopea ulimwengu kama wanavyofanya warusi na wamarekani kwenye mataifa kadhaa.Nahofia muingiliano wa kibiashara na hawa jamaa usije kutuletea na mengine tutakayoshindwa kuyabeba. ..kumbuka kila mchuma janga....!!!