Ni kweli Chato sasa hivi "neema" ipo huko?

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,370
3,956
Kama mnavosikia wakuu mabilioni yanamwagika huko na hali inavoonekana yataendelea kumwagika.

Sasa kwa watu wanaowekeza haifai kwenda kufungua biashara huko.Mambo ya kawaida tu kama Maduka (Wholesale&Retail),mambo ya huduma kama Mobile money transfer,Nyumba na vyumba vya biashara,maeneo ya ardhi n.k

Hali imekua tete .........
 
Back
Top Bottom