Ni kweli CHADEMA ilikuwa Sacos na mali ya Mbowe?

Ni kweli CHADEMA ilikuwa Sacos na mali ya Mbowe?

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,144
Reaction score
56,411
Kuna siku Musukuma alitishia kuweka wazi miamala ya fedha toka CCM kwenda kwa Mbowe ili aendeshe chama tukadharau.

Mchungaji Msigwa, aliwahi kusema 'Chadema sio taasisi ni mali ya Mbowe' ni biashara ya familia, tukadharau.

Kuna baadhi ya wana CCM walikuwa wakisema Chadema ni Sacos inayomilikiwa na Mbowe na wachaga wenzake ndani ya chama tukawapuuza.

Paul Makonda aliwahi kusema Mbowe ni mtu wetu na Chadema ni tawi letu tumemfutia kesi zote na kumrudishia biashara zake zote.

Yanayotokea leo yanatupa picha gani kwenye ukweli huo.

Je, ni kweli Chadema ilikuwa Sacos na mali ya Mbowe?
Je, ni kweli Chadema lilikuwa tawi la CCM?
Je, ni kweli Mbowe alikuwa akipokea fedha kutoka CCM?
 
For more than 30yrs na wanachadema hawakumshtukia ....

Sasa nna mashaka juu ya uwezo wa wanachadema wote wa kujua kiongozi mzarendo na asiye mzarendo as wengi Sana walimpambania hata wengine kufa kwajir yake kumbe wanampambania mamluki wa CCM.
 
Wazalendo wapo na wanajulikana ikiwemo hawa wa sasa. Mbowe alianza vizuri sana tena akiwa na malengo mazuri. Lakin baada ya kesi ile alibadilika
 
Ilikua CCM B

Mbowe alijifanya mwanachadema mchana ilifika usiku anapanda ungo mmoja na kina Samia
40303702.295.jpg
 
For more than 30yrs na wanachadema hawakumshtukia ....

Sasa nna mashaka juu ya uwezo wa wanachadema wote wa kujua kiongozi mzarendo na asiye mzarendo as wengi Sana walimpambania hata wengine kufa kwajir yake kumbe wanampambania mamluki wa CCM.
Mbona Lissu aligusia vizuri aliposema ataimarisha mifumo ya kifedha ikae kitaasisi?

Lissu alijitoa muhanga kunusuru chama
 
Mwita Waitara: Chadema ni mali binafsi ya Mbowe na Halima Mdee
 
Naanza kuamini ila kwa mbaaaliiiii
....
 
Mimi Mbowe nilimstukia baada ya kumpokea Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais, baadae akamleta Nyalandu! Toka ampokee Lowassa sikuwahi kubadilika kuwa Mbowe hastahili tena kuwa mwenyekiti wa cdm. Wafuasi wengi wa cdm hawakuwa wananielewa, lakini baada ya kushindwa uenyekiti muda umeongea.

Hata uwepo wa covid19 bungeni Mbowe anajua na ni mfaidika wa hilo.
Fundi mchundo
 
Mr. Born Town....wapi Yoga?!!!
 
Double Agent kazini.
Jamaa anajua ndugu zenu waliopotea wako wapi.
Hana tofauti na Maalim Seif kuwa kwenye list ya waajiriwa wa Gizani wa cHama.
 
Back
Top Bottom