sura yenyewe ya kuuza iko wapi pale?? atakuwa anatutisha tuu sana sana....naungana nawewe kuwa waliompa wali2mia kigezo cha sketi, sasa watu hapa wanaumiza kichwa eti atoe tamko, mara sijui afanye nn, hatafanya jamani sio kwa kuwa lema ni chadema ila kwa kuwa mama hajui la kufanya, hajui hata kwamba labda anatakiwa afanye kitu fulani, kifupi hajui chochote, mi sitaangalia bunge, last time nilikuwa naona kichefuchetu tuu nikaona nitavunja bure tv yangu..yule mama kifupi ni mfu kichani hasa linapokuja suala nyeti la kuiongoza taasisi nyeti kama bunge....ccm wanakenua tuu mimeno..