"Ni kweli Ama Wizi mtupu???..

Urafiki ni suala gumu na pana.Kwa mume azidi kumuamini mpenzi/mke wake ,na Mke ni bora akauvunja huo uhusiano,hii dunia tu na sisi ni wanadamu dhaifu lolote lawezatokea.

Kaazi kwelikweli Gilo..hapo nilipoweka kolezo hadi maneno haya chini hapa bado unaona ni sawa ulivyo-comment siyo kwamba lilishatokea Probability of success naona ni 0.91?

urafiki wa kawaidi tu wakushibana tena wa muda mrefu kati ya Mwanamume na Mwanamke tofauti na wakimapenzi??


 

lakn kuna mmoja lazima anapiga show! Nikiangalia orodha ya marafiki zangu wa kike niliowahi kuwa nao dah, O-Level nilikuwa na marafiki wawili, tulishibana sana, nakumbuka mpaka assemble tulikuwa tunasimama sehem moja, hata mmoja akichelewa watu wengine wanaacha nafasi wakijua hapa lazima atasimama fulani, achilia mbali DH na kwingineko, walikuwa ni zaidi ya dada zangu, bahati mbaya mmoja alikuja kunishawishi tukapiga show moja baada ya kukutana mtaan tukiwa tushamalza shule. A-Leve nlikuwa naye mmoja, yeye alikuwa o-level na alikuwa besti wangu mpaka watu walijua ni dada yangu, tena walikuwa wanatia na chumvi kuwa tunafanana, baada ya kumaliza shule nilimtongoza akakataa akisema sasa hivi haiwezekani, lakini aliweka wazi kuwa hata yeye alishawahi kunitamani kipindi kile ningetupia ndowana angenasa, niliapa kuwa nitapiga naye tu show hata uzeeni alicheka sana (bado sjatekeleza naziri), Currently nina marafiki wawili, hawa sasa ndiyo urafiki umezidi, tulishawahi kulala kitanda kimoja mara kibao, anaweza kubadili nguo mbele yangu lakin mashine hata haishtuki wala sina wazo kabisaa (japo kautani kapo sana tu), hata wao wanakiri kuwa hawawezi kufanya mapenzi na mimi, labda iwe dharula hasaa (yaani mawe yamezidi) na urafiki huenda ukafia hapo!!
 
Inawezekana sana mimi marafiki zangu ni wa kiume tena more than rafiki ni kama ndugu kwangu sio kila rafiki wa kiume ni mpenzi. Nakataa
 
  • Upo! ,Ntakupa mfano: Je unamfahamu Mzee Small na Bi chau. Hawa licha ya kufanya kazi pamoja walikuwa na wanaendelea kuwa marafiki wa kawaida walioshibana.

usiusemee moyo kwa lile ta.ko la bi chau mzee small lazima aliomba labda kama alinyimwa ilo ni suala lingine lakini u can b sure kwa mwaume mkamilifu lazima aombe pale!!!
 
Siwezi kuwa na urafiki na demu! Labda friends with Benefit. Sometimes tunapeana mambo.
 
Urafiki kati ya jinsia mbl tofaut inawezekana kabisa,mwnyewe nna idadi kubwa ya marafiki wa kiume tofaut na jinsia yangu. Wala hakuna lolote baya mradi2 mipaka iwepo mana kila k2 kinautaratibu wake
 
 
Urafiki kati ya jinsia mbl tofaut inawezekana kabisa,mwnyewe nna idadi kubwa ya marafiki wa kiume tofaut na jinsia yangu. Wala hakuna lolote baya mradi2 mipaka iwepo mana kila k2 kinautaratibu wake

Minaamini kuna strong feeling, hivi haijawahi hata kukros in your mind dah! huyu jamaa dude!
 
Inawezekana, lkn tukichkulia majority ni ngumu kwa kweli.

Kwa sisi wanawake unaweza ukawa na marafiki hata mia wa kiume tena kwa nia safi kabisa lkn hao madume sasa ndo shughuli. Labda awe si mzima. Mana kama si leo japo mtondogoo iko siku atakutokea tu. Ni wachache sana wawezalo hilo.

Apo uyo kaka yako afanye tu uchunguzi wa kutosha venginevo ataibiwa mchana kweupe
 
Manaake hi ni sawa na kuwa na zizi la kondoo ndani yake kuna chui, hata akiona maziwa anadai kuwa ni tui..

Ahahah mkuu umenichekesha hapo...!

Anyway, nadhani upo ila inategemea mlianzaje na ninyi ni watu wa aina gani.

Baada ya kusema hayo, mtazamo wangu mtu unapofikia kuingia katika ndoa kuna mahusiano ambayo ni lazima kuyavunja. Ndiyo alikuwa rafiki yangu ila sasa nimeoa, basi sina budi kumfanya mke wangu kuwa rafiki yangu zaidi ya yule aliyekuwa rafiki yangu kabla ya ndoa. Na wakati mwingine hili lazima ulifanye kwa kujilazimisha.

Siamini katika ndoa ambayo mume ana rafiki yake kipenzi (sijui wa kufa na kuzikana) wa kike, na mke naye ana jianaume huko nje rafiki wa kufa na kuzikana...nasisitiza HATA KAMA HAKUNA MENGINE YANAYOENDELEA NYUMA YA PAZIA!

Mueo/Mkeo ndiye rafiki yako wa pekee wa kufa na kuzikana..take it or get out of that marriage uambatane na huyo wa kufa na kuzikana!

Nimemaliza!
 

inawezekana sana tena sana
ingawa kuna miwanaume mingine
hua inajifanya mirafiki kumbe ina agenda ya siri
mwisho wa siku inajikweza,ila hiyo kitu yawezekana sana!!
 
hapo ukimchunguza vizuri sana mwanaume atakuwa anamatatizo huyo!
 
urafk wa mwanamke na mwanaume walioko kwenye ndoa tofauti na ule wa wanandoa haupo kama upo unamipaka.. Ndoa na iheshmiwe na kila mtu
 
 

Dah! uchunguzi utabidi uhusike hapa Angel Nylon
 

Hebu kwanza ngoja nikugonge like Mentor true kabisa ulichongea
 
Kaa mbali na mai hazibendi wangu tafadhali. Msimamo wangu ni kwamba siruhusu hata kidogo urafiki kati ya hazibendi na mwanamke yeyote, hasa single.
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…