Simon Lucian
Member
- May 24, 2022
- 12
- 2
Ni kweli ajira nyingi zinategemea na chuo ulichosomea, mfano waliosoma vyuo Kama MUHAS, UDOM na UDSM wanaajiriwa sana kuliko waliosomea vyuo vya kawaida kama Kampala University n.k
Nani kakudanganya wewe!Ni kweli ajira nyingi zinategemea na chuo ulichosomea, mfano waliosoma vyuo Kama MUHAS, UDOM na UDSM wanaajiriwa sana kuliko waliosomea vyuo vya kawaida kama Kampala University n.k
Exactly ukisoma vyuo mchongo kuhusu ajira sahauNi kweli ajira nyingi zinategemea na chuo ulichosomea, mfano waliosoma vyuo Kama MUHAS, UDOM na UDSM wanaajiriwa sana kuliko waliosomea vyuo vya kawaida kama Kampala University n.k
course za afya nina uhakika 100% hawaangalii vyuo na kama ukisema waangalie vyuo MD wa Udom wanapondwa sana mitaani so sidhan kama watapata preference kama unavosema ila all in all kwenye afya chuo hakiangaliwi, kwa uzoefu wangu mdogo ni experience ya kaz ndo inaangaliwa kwenye afya na ufahamu wako wa mamboSometimes ina make sense japo connection is every things, cha muhimu ni kupata elimu kutoka chuo kina chotambulika na serikal pamoja pmoja na course inayotambulika na Utumishi . mfano katika Ajira za madereva wanatoa preference kwa waliosoma chuo cha NIT, Financing courses - IFM, law UDSM au Mzumbe, education CBE, health MUHAS au UDSM-MCHAS au UDOM , Engineering DIT au ARU n.k hii inakuweka probably kama competent applicant katk ajira.
Hapo umenenaHilo linatazamwa sana mfano kwenye sekta ya afya huwa wanaamin ufaulu wa vyuo vingine ukiachana na muhas au udom huwa ni wa kupewa
Kama zipi hizo??sio kweli muda mwingine inategemea na sababu zingine lukuki
Yaan Engineering ya UDSM inazidiwa na DIT au ARU? wee hauko serious kabisaa.Sometimes ina make sense japo connection is every things, cha muhimu ni kupata elimu kutoka chuo kina chotambulika na serikal pamoja pmoja na course inayotambulika na Utumishi . mfano katika Ajira za madereva wanatoa preference kwa waliosoma chuo cha NIT, Financing courses - IFM, law UDSM au Mzumbe, education CBE, health MUHAS au UDSM-MCHAS au UDOM , Engineering DIT au ARU n.k hii inakuweka probably kama competent applicant katk ajira.
uwajibikajiKama zipi hizo??
ALumin wa Mliman mnapenda kukitetea chuo chenuYaan Engineering ya UDSM inazidiwa na DIT au ARU? wee hauko serious kabisaa.
Ndio ukweli sasa.ALumin wa Mliman mnapenda kukitetea chuo chenu