St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
- Thread starter
- #41
Kwani we una wivu mpenzi? Au akikuzingua tu unamwambia achape lapa?
Kwani we una wivu mpenzi? Au akikuzingua tu unamwambia achape lapa?
Na ndio maana nauliza huu wivu wanautoa wapi? Ni kitu wanalinda au ni wa asili?Jana mke wangu kaiba sm akawa anakagua sms,kwa bahati mbaya kazikuta sms za mchepuko.mzee narudi zangu nakuta mtu kavimba hatari, nkamsomesha wee kaelewa. Nikamgeuzia kesi kwa nini akague sm yangu. Mpaka naandika sms hii kunamgogoro hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi ni asili, maana wivu alionao mke wangu kwa mfano unanipa wasiwasi kama nitaishi naye mda mrefu.licha ya kumkataza mara nyingi na kupigwa kipigo kikali lkn bado anaiba sm na kukagua[emoji35] [emoji35] [emoji35]Na ndio maana nauliza huu wivu wanautoa wapi? Ni kitu wanalinda au ni wa asili?
Asanteee wewe ni mwanamke halisi unayeishi uhalisia wa maumbile ya viumbe. Nina uhakika hata mumeo anafurahia sana kuwa na wewe kama mke.
Eeeh ikitokea nimeolewa sitokua na wivu sharti asioneshe mapungufu ya heshima kwanguA
Asanteee wewe ni mwanamke halisi unayeishi uhalisia wa maumbile ya viumbe. Nina uhakika hata mumeo anafurahia sana kuwa na wewe kama mke.
Atatulia ukimletea ukimwiJana mke wangu kaiba sm akawa anakagua sms,kwa bahati mbaya kazikuta sms za mchepuko.mzee narudi zangu nakuta mtu kavimba hatari, nkamsomesha wee kaelewa. Nikamgeuzia kesi kwa nini akague sm yangu. Mpaka naandika sms hii kunamgogoro hatari
Sent using Jamii Forums mobile app