Ni kwanini wanawake wanakuwa na wivu??

Ni kwanini wanawake wanakuwa na wivu??

Mimi sinawivu kabisa ila ninachochukia mtu anakuonyeshea kuwa anamtu mwingine kwanini usilale huko ukija nyumbani ujaribu kuficha???
Hadi uonyeshe tu nyie ndio hamjielewi mpaka mmefikia hivyooo.
 
Ni roho mbaya tu zinawasumbua wanawake wengi hawapendi wanawake wenzao wapate kile walicho nacho

Na sisi wanaume kwakua hatujajaliwa roho mbaya tunatoa misaada kwa kutumia mbinu za kijeshi ikiwemo ile ya hit and run!
 
Ni roho mbaya tu zinawasumbua wanawake wengi hawapendi wanawake wenzao wapate kile walicho nacho

Na sisi wanaume kwakua hatujajaliwa roho mbaya tunatoa misaada kwa kutumia mbinu za kijeshi ikiwemo ile ya hit and run!
 
Kama mwanaume umempa sababu ya kua na wivu..kwann mwanamke akoswe sababu????? .

Wanawivu kwakua ni nature tulopewa sisi wanadam kwa jinsi zetu.
 
Albert Einstein alipata kusema kuwa "If you want to understand life,look deep into nature" Sasa unapoangalia katika viumbe hai wote hakuna kiumbe jike hata mmoja mwenye wivu. Wivu wa wanawake hawa unatoka wapi. Wanalinda nini? Kimsingi wivu wa mwanaume unasababishwa na asili ya kila mwanaume kutaka kusambaza genes zake na kuzalisha uzao wake. Mwanaume anajawa na hofu kwamba mke wake atakapochepuka kunakuwa na uwezekano wa kulea mtoto asiye wa kwake. Sasa swali nalojiuliza ni kuwa hawa wapinzani wetu wanakuwa na wivu wa nini wakati hawana cha kupoteza?


Dushe lina utamu wake wa asili, mwanamke akimpata mwanamme anayejuwa kucheza ndombolo stejini (6X6) anakuwa mchoyo na hataki ku-share.
 
Wanakua na wivu hasa unapokua na pesa..wanataka watumie wao tu zisiende kwengine.

Nimewaza tu ila ngoja waje watujibu vizuri.
Me wangu akiwa na hela nyingiii ruksaaa kuoa wake hata kumi sio kuchepuka ni kuoa coz najua anaweza kutupatia kila tunachotaka kasoro roho yake tu......wivu sina kabisa mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom