Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

wengi wao ndio wanavyofikiri kuwa akiwa na mpenzi ni wajibu wake kumsaidia.Shida zooote huzihamishia kwa mpenzi wake.
Ndicho kizazi cha sasa.

Wito kwa wanaume. dont date a student. pia dont date mtu asiye na kaz. yupoyupo tuu. ni mizigo kwako na jamii kwa ujumla. Ukiombwa hela sio lazima kumpa. kuwa mgumu.

akizingua apite kulee,wewe sio mzazi wake. akisepa kimpango wake.Utapata mstaarabu mwenye akili timamu anayejua mapenzi ni nini

Maneno kuntu haya
 
Kumekua na hii tabia ya baadhi ya wanawake kupenda kuomba hela kutoka kwa wapenzi wao, huwa najiuliza tatizo ni nini? Wao wanahisi sisi wanaume tunapata wapi hizo hela wanakoshidwa wao kuzipata.!? Utakuta mwanamke mzima kabisa eti ninaomba laki laki.

Utetezi wao eti mwanamke inabidi umjali, mwanamke anaeombaomba hela hafai hata kwa pilipili haliki.


yani wewe mwanamke wako anakuomba hela unalalamika kiasi hichi basi inaonyesha kua huna malengo nae hata ya kumuoa for whatever reasons you have kwasababu mwanamke ambae mnapendana na mnajua mnafuture pamoja hawezi kukukera akikuomba hela... Tatizo mnakua na michepuko mingi kiasi cha kwamba mnaona kero kutoa hela. hata wewe mtoa mada i am very sure kama unamwamke ambae unampenda na unajua ndo mama watoto wako, hulalamiki kabisa akikuomba hela uongo kweli?
 
Wanaume wanaolialia wakiombwa hela nawaona wajinga na hawajakomaa kiakili.
Hivi mpenzi wako kukuomba hela unaumiaaaa!!

Hujawahi kukwama ukaomba msaada sehemu(iwe kwa mkopo au kusaidiwa bure)
Sasa kila mtu anaeombwa alalamike? Hata wewe mwanaume ukiwa na shida ya pesa huwezi kumuomba mpenzi wako?

Acheni uongo kwamba wanawake tu ndio wanaomba hela, hata wanaume pia huwaomba wapenzi wao hela.
Inategemea na wewe unavyolichukulia suala la kuombwa hela.

Heshima kwako Preta,

yaani we unavolieleza ni tofauti na hali ilivyo..., yaani kama mpenzi wako anashida unajikuta hata we unaona na unaweza kusaidia hata kabla ya kuombwa.., ishu ipo pale ambapo ndo siku ya pili tu una namba ya mtu then mara unaambiwa eti simu yangu mbovu (mfano tu)..., hahahahahahah mi nshawahi kuwaambiwa eti huwa sipati stimu kama sina hela hata kdg maana siku hizi nimefulia aisee..., ilinibidi niulize stimu activation inaweza kuwa bei gan??? yaan hivi vitu vimekuwa kama vifurushi.

pesa kdg ya mwanzo (kutengeneza simu/vocha) = unapata chating ya nguvu
pesa ya lunch na dinner = unapata timeoutss
pesa ya kutosha = ndo unapata access ya ku -insert

MI BANA SAHIVI NAULIZIA TU HIVI VYOTE KWA JUMLA NI BEI GAN??
 
Huwa nashangaa miaka hii ya karibuni wanadada wanaomba pesa mno yaani ukitongoza tu balaa
 
Kwasababu wanaume wasiojiheshimu wanatamani wanawake/mabinti hovyo. Mnaomba namba zao kiholela sasa nanawao wanawaomba hela kiholela. Siku nyingine akikuomba mpe au unaweza kukataa pia.
 
Mwanamke akikupenda hakuombi ombi hela hovyo..unless anashida kweli kwanza ata kukuomba anashindwa...asiekupenda sasa utafurahi na roho yako maana utachuuunwa..tena anampa na ampendae.
 
Mwanamke akikupenda hakuombi ombi hela hovyo..unless anashida kweli kwanza ata kukuomba anashindwa...asiekupenda sasa utafurahi na roho yako maana utachuuunwa..tena anampa na ampendae.
Wacha we
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom