Betason
JF-Expert Member
- Feb 2, 2015
- 387
- 700
habari za wakati huu wana MMU...
Katika mahusiano kadhaa niliyoyapitia mimi ndiye niliemshawishi mwenzangu kupima HIV kabla ya kuanza kulila tunda ila mara nyingi nimechunguza wengi huwa wanasahau kabisa yan akishakolea hakumbuki kama ni muhimu kujua afya ya mwenzake.
Ndo kusema wanawake hawaogopi HIV ama wakishamuona abdala kichwa wazi wanalegeza masharti?