Mbezi Msakuzi vipo.Kiwanja cba milioni tano mjini ni wapi huko mkuu nije fasta kununua ?
Mbezi Msakuzi vipo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko msakuzi kuna milima balaa,lushoto ina afadhali
Mkuu wacha utani basi aiseee….. kuna msingi mpaka wa Million Mia..tena residential house kabisa….kila mtu anajenga kadri ya uwezo wake. wengine 20M ni kujenga nyumba ya kuishi wakati wengine ni kununua mabati ya kuzungushia site......Mna umri gani nyie?
Hamna msingi wa ghorofa la makazi wa zaidi ya 20m, avarage ni 15m tena umetumia mkandarasi kabisa. Kama mmeibiwa kwa ujinga uzembe wenu msijaribu kuhalalisha uzembe wenu hapa.
Hapo kweli kabisa kila mbuzi a nakula kwa urefu wa kamba yakeMkuu wacha utani basi aiseee….. kuna msingi mpaka wa Million Mia..tena residential house kabisa….kila mtu anajenga kadri ya uwezo wake. wengine 20M ni kujenga nyumba ya kuishi wakati wengine ni kununua mabati ya kuzungushia site......
Million 180 inakujengea ghorofa mjini kabisaMkuu hapana. Na material zingine tunachukua viwandani kabisa. Sishangai wewe kushangaa ama kukataa hizi gharama.
Nakumbuka enzi hizo kulikua na ugomvi wa majirani wawili. Mmoja na ghorofa mwingine hana. Na yule baba mwenye ghorofa ni engeneer. Yule wa chini ni ndugu yetu na ni wachokozi na wakorofi kwelikweli[emoji28] waakawa wanamtukana yile baba na kusema vibaha ghorofa lake. Nyumba ya wale ndugu zangu ni ya chini lakini kali mno. Nikisema kali ninkali. Sasa yule baba kwa hasira mwenye ghorofa akawaambia " sasa mnaongea nini wakati gharama ya nyumba yenu yote ndo msingi wa ghorofa yangu?" Nilishangaa sana watu wakanielekeza bado sikuelewa. Nilaja kufatilia kbs kwa wahusika wa kada hiyo. Na nikaona wanaojenga. Aisee... inafika. Nimeshuhudia kbs. Basi hapa namm najiliwaza nitajenga langu siku tuu[emoji28]
Niliambiwa watu huona gharama ni ndogo sometimes kwasababu wanajenga kwa kujibana sana na kuacha vitu vingine. Kama ulivyoona wataalam wakiainisha huko juu. Kuna mwingine anataka ujenz ule wa kufata protocols na uimara. Mwingine atapambana kwa mkono unapifikia mkuu. Ndo maana hata nyunba za chini tuu pia gharama hutofautiana.
Kwa gharama za sasa ghorofa ya kawaida hata 100m unajenga.
Na mimi naomba namba yako please ya heka mojaPemba mnazi, Kimbiji bado bei iko chini na unaweza kupata eneo la kujenga na kupata upepo mwanana wa kutoka baharini...mkuu nitafute nikupe eka kwa milioni sita tu ujimwage na kupata upepo wa baharini
Umri wa kupanda ngazi unakuwa umeisha, labda uweke na liftUmri wa kujenga gorofa mwisho miaka mangapi?
Sioni logic ya kujenga gorofa ukiwa above 45yrs.
Labda Chato.Nikisema mjini si Dar es Salaam au Arusha tu. hata Manundu Korogwe ni mjini.
Binafsi nimetumia 45 milioni kujenga msingi wa ghorofa Jijini Dodoma.Kwa watu kadhaa waliokua wanajenga nimeona msingi range 45mil to 55. Na ni hizo hizo room 4 za kulala ukiacha store na vingine. Hapa naenda site ya ndugu yangu katumia 55.
Inategemea na eneo na design(structural).Binafsi nimetumia 45 milioni kujenga msingi wa ghorofa Jijini Dodoma.
Sawa tu Mkuu.Inategemea na eneo na design(structural).
Pia inategemea unamaanisha nini unaposema msingi, lakini 20m inaweza kutosha 3-4 bedrooms kwenye msingi au frame.
Nakubaliana na wewe mkuuInategemea na eneo na design(structural).
Pia inategemea unamaanisha nini unaposema msingi, lakini 20m inaweza kutosha 3-4 bedrooms kwenye msingi au frame.