[emoji28][emoji28][emoji28] jamani nyie Kuna watu wanafurahisha sana, Hichi kipande looks so funnySasa ninajiuliza sisi ardhi tunayo kubwa sana. Mpaka sasa bei ya kiwanja ni wastaniwa milioni tano mijini.
Wengine ni hobby tu ya kuwa tofauti na hasa Kama pesa ya kujengea imekuja kimchorochoro flani hivi. Ingawa wengi Wana under estimate gharama za kujenga ghorofa as result zinawasumbua Hadi wanajuta.Kwa msingi wa ghorofa unaweza kununua viwanja viwili.
Kuna kijana kule Tanga alikua baharia. Alirudi na pesa yake na kununua nyumba ya udongo mtaani enzi hizo. Alisema ninakwenda tena nikirudi ninajenga ghorofa niwe nina wasanifu wanaokwenda chooni na makopo ya maji nikiwa chumbani kwangu.Ili kutia heshima!
Ni kweli ghorofa linahitaji hesabu nzuri.Wengine ni hobby tu ya kuwa tofauti na hasa Kama pesa ya kujengea imekuja kimchorochoro flani hivi. Ingawa wengi Wana under estimate gharama za kujenga ghorofa as result zinawasumbua Hadi wanajuta.
AiseeKuna kijana kule Tanga alikua baharia. Alirudi na pesa yake na kununua nyumba ya udongo mtaani enzi hizo. Alisema ninakwenda tena nikirudi ninajenga ghorofa niwe nina wasanifu wanaokwenda chooni na makopo ya maji nikiwa chumbani kwangu.
Mauti yalimkuta kabla hajaanza kuwasanifu wanaokwenda chooni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vitu vingine ni kujitafutia tu kurogwa
Tanga siyo sehemu ya kujidai kabsa, ndio maana imedumaa kimaendeleoKuna kijana kule Tanga alikua baharia. Alirudi na pesa yake na kununua nyumba ya udongo mtaani enzi hizo. Alisema ninakwenda tena nikirudi ninajenga ghorofa niwe nina wasanifu wanaokwenda chooni na makopo ya maji nikiwa chumbani kwangu.
Mauti yalimkuta kabla hajaanza kuwasanifu wanaokwenda chooni.