Warusi nao wapo kwenye mbio za kuiteka Africa, ingawa wanafanya hivyo "kimya kimya".Ukilinganisha na mataifa ya Magharibi, China na Ulaya ambazo zinapigana vikumbo kwenye bara hili? Kuna mwenye ufahamu atudadavulie wanajukwaa.
N'yadikwa
Hivi mzungu na mrusi wanazidianaje kwenye ubaguzi...nikajiuliza pia, mbona tuliwahi kuunga urafiki na hawa warusi huko miaka ya 70,80z kwanini sasa inakuwa ngumu kushirikiana kwenye uchumi kama tunavyofanya na uchinaMrusi kinachomsumbua ni ubaguzi na ndio maana hata putin huwezi muona Africa, ana eneo kubwa sana ambalo lina rasilimali nyingi
katika miaka ya 1950-1980's Russia(USSR) ilikuwa na power kubwa sanaa.. na ndie alikuwa mpinzani na USA.. sasa.. kilichotokea ni kuanguka kwa dola ya USSR.. na kuibuka kwa CHINA.. ambayo ilichuana vikali na USA.. ambayo ni capitalist wakati CHINA ni Socialist.. waliigawana bara la AFRIKA.. na kulitenga katika matabaka mawili ingawa wapo waliojitenga na kukaa katikati..Ukilinganisha na mataifa ya Magharibi, China na Ulaya ambazo zinapigana vikumbo kwenye bara hili? Kuna mwenye ufahamu atudadavulie wanajukwaa.
N'yadikwa
Jidanganye hivyo hivyo mkuu....katika miaka ya 1950-1980's Russia(USSR) ilikuwa na power kubwa sanaa.. na ndie alikuwa mpinzani na USA.. sasa.. kilichotokea ni kuanguka kwa dola ya USSR.. na kuibuka kwa CHINA.. ambayo ilichuana vikali na USA.. ambayo ni capitalist wakati CHINA ni Socialist.. waliigawana bara la AFRIKA.. na kulitenga katika matabaka mawili ingawa wapo waliojitenga na kukaa katikati..
RUSSIA (USSR) iliakufa nguvu.. kutokana na kupandikizwa kwa vibaraka wa USA.. katika UONGOZI wake wa juu hivyo kupunguza msukumo wa kuwekeza nchi za dunia ya 3.
China walichukua nafasi ya USSR na kuchuana na USA kugombea bara la AFRIKA kupitia idea ya UKOLONI mambo leo.. ndio maana unakuta wanamiradi mingi inayofanana..
RUSSIA haina nguvu tena kwa sasa.. so haiwez ushindani wa CHINA NA USA
Swali zuri.Hivi mzungu na mrusi wanazidianaje kwenye ubaguzi...nikajiuliza pia, mbona tuliwahi kuunga urafiki na hawa warusi huko miaka ya 70,80z kwanini sasa inakuwa ngumu kushirikiana kwenye uchumi kama tunavyofanya na uchina
Hahahahahaha vipi niongee na Putin atuuzie lile bomu maarufu kama SatanHata kama wana rasilimali bado wanahitaji kuwekeza na kutafuta fursa za masoko sasa mbona hawaji sana Africa ?
Ila biashara ya silaha kwa huku africa yupo vizuriHata kama wana rasilimali bado wanahitaji kuwekeza na kutafuta fursa za masoko sasa mbona hawaji sana Africa ?
USSR ilivyoanguka tu..... hakunakitu pale zaidi ya heshima iliyojijengea hapo mwanzoJidanganye hivyo hivyo mkuu....