Ni kwanini Rais Magufuli kila akihutubia anapenda kutukemea na kutoa amri na vitisho?

Mara nyingi hotuba huwa pia zinaandaliwa. . . .
Sasa atakubalije kuandaliwa, au aiandae alafu Ieditiwe(edited) wakati yeye hataki ushauri , wa mtu yeyote
Lakini hata kama hotuba ikiandaliwa kama yeye mwenyewe atataka vijembe, vitisho na majigambo yawepo katika hotuba hiyo vitakuwepo tu. Tena anaweza kutumia wale waandaaji wa hotuba wanaomjulia aina ya vijembe au vitisho anavyovipenda ndivyo vikajazwa katika hotuba hizo ili tu kumfurahisha mkulu.

Kitu muhimu ni kwa mkuu kutumia hekima na busara katika matendo yake na pia katika hizo kauli au hotuba zake huku akisimamia haki kwa wananchi wake. Vinginevyo mkuu wetu anaweza kuangamizwa na stress zinazotokana na kazi nzito ya kusimamia yale anayoyaamini yeye pekee yake kwa ajili ya wananchi waliokwisha poteza kabisa matumaini juu yake tena katika kipindi kifupi tu cha utawala wake.
 
Usiwe na shaka wale waliochakachua kura ndiyo wanang'oka na wanajua walifanya nn jamaa ashinde. Kazi itakuwa nyepesi 2020
Fikiria jamaa wa aina ya yule mwanausalama aliyemtishia Nape kwa bastola ndio wanasimamia vyumba vya kuhesabu kura!!! CCM haiwezi kutoka madarakani kwa njia ambayo wao wameibatiza 'vikaratasi' unless tunapata katiba mpya ya wananchi au wakubali tuwe na tume huru ya uchaguzi.
 
Naunga mkono hoja kwa 100% yaani magufuli hayaoni mabaya ya Daud Albert bashite kabsa kajitia upofu kaziba masikio na Pamba ni Aibu kwa watanzania na Nchi jirani na kote Duniani, mazuri yote aliyotenda kwa mwaka mzima yanaenda kusahaulika wananchi wanaanza kumchukia kwa kasi kubwa.
ametenda mazuri gani mwaka mzima? pengine mimi ni kipofu - unaweza kutusaidia kuorodhesha mawili!
 
HAJIAMINI na urais aliupata kwa zali tu. Watz ni taifa la 3 toka mwisho lenye watu wengi wasio na furaha. Ukitaka kuondoa hali hii, ukisikia tu sauti ya kisukuma kwenye radio/luninga zima haraka na popote utakapokuta kaandikwa huyu ndugu usisome ikibidi jitoe kwenye makundi yote yanayomzungumzia huku ukisibiri 2020.
 
Amevunja sheria ipi au katiba ipi?

Kama ana nia na dhamira njema angepeleka kwa hati ya dharura bungeni ili ifanyiwe marekebisho na yeye aanze kulipa kodi. Mbona alizuia bunge live huku akijigamba kwamba watu wafanye kazi wakati kila siku kwa sasa yeye anaonekana live tena wakati wa kazi? Jiongeze jomba.
 
Fikiria jamaa wa aina ya yule mwanausalama aliyemtishia Nape kwa bastola ndio wanasimamia vyumba vya kuhesabu kura!!! CCM haiwezi kutoka madarakani kwa njia ambayo wao wameibatiza 'vikaratasi' unless tunapata katiba mpya ya wananchi au wakubali tuwe na tume huru ya uchaguzi.
Mkuu nakubaliana nawe 100%. Yaani hapa tulipo ni pabaya. Ni Mungu tu atusaidie. CCM haitacha madaraka kwanza kwa hali zetu hizi za uoga na uungwana, itatawala milele.
Hakuna nchi ambayo wambadilisha mamlaka bila shinikizo za wananchi na nchi za nje. Mfano Gambia etc.
Magufuli ni silika yake kwanza,Lakini pia tumechangia kwa kumpinga kila analifanya ambalo ni zuri.

Na kama hatapata support yoyote toka kwa watanzania ataendelea kuwa mkali na atafanya lolote lile ili mradi tu mtambue kuwa yupo na ni Rais wa Tanzania.
 
7. It takes a small man, insecure in his authority, to keep insisting on respect, loyalty and obedience, instead of inspiring it voluntarily in his followers' hearts by his own loving and considerate example.

27. The quicker you leaders learn to confess your mistakes, the more others will trust & love you, & the more the Lord will use you.

40. If the officer has a question or feels a doubt about executing an important order from a superior officer, then it is his responsibility to voice it to the superior officer. And if he won't listen, then go to a higher authority.

45. If the power of your position goes to your head so that you forget what you're there for, you're simply proving that you're still a novice, filled with pride & not ready to be a leader.

61. Any general who doesn't listen to his officers & doesn't pay any attention to his men is going to be in trouble!

77. Little men want to do it all themselves. Big men get others to do it for them.

84. Be first a problem preventer, so you won't have to be a problem solver.

85. A great man shows his greatness by the way he treats little men.

126. Men of force are men of faults.
 
HAJIAMINI na urais aliupata kwa zali tu. Watz ni taifa la 3 toka mwisho lenye watu wengi wasio na furaha. Ukitaka kuondoa hali hii, ukisikia tu sauti ya kisukuma kwenye radio/luninga zima haraka na popote utakapokuta kaandikwa huyu ndugu usisome ikibidi jitoe kwenye makundi yote yanayomzungumzia huku ukisibiri 2020.
Ulevi wa madaraka ni mbaya kuliko ulevi wa viroba uliopigwa marufuku
 
Back
Top Bottom